Sheikh Abubakar Makaburi auawa kwa kupigwa risasa Mombasa
Sheikh Abubakar Shariff ‘Makaburi’ anayehusishwa na matukio ya kigaidi nchini Kenya ameuawa jana na watu wasiojulikana mjini Mombasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZfKTftH0xy8L1-272ZBhkGvJT*1IikXLTfhMX08m3DWvjqROZyhmixElo-bCM7e3DhMPUEH4eq6AOt0-gavprVT/AHMED.jpg)
MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MOMBASA, KENYA
Mwili wa marehemu Ahmed Bakhshuwein baada ya kupigwa risasi. Mfanyabiashara, Ahmed Bakhshuwein ameuawa kwa kupigwa risasi tatu kichwani akiwa kwenye gari eneo la Malindi, Mombasa karibu na Al-R azaak Stores nchini Kenya.
CREDIT: Michuzi Issa.
10 years ago
Daily News23 Jun
Sheikh Abubakar picked interim Mufti
Daily News
THE Muslim Council of Tanzania, BAKWATA, picked Sheikh Abubakar Zuberi bin Ally interim Mufti following the death of the national Muslim leader, Issa Shaaban bin Simba, which occurred in Dar es Salaam last week. BAKWATA Secretary General, Sheikh ...
9 years ago
IPPmedia12 Sep
Abubakar Zubeiry bin Ally elected Chief Sheikh
IPPmedia
IPPmedia
Tanzania�s Mufti (Chief Sheikh) Abubakar Zubeiry bin Ally thanks Bakwata General Assembly members shortly after they had voted him into power in election held in Dodoma yesterday. The Muslim Council of Tanzania (Bakwata) yesterday picked Abubakari ...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Auawa kwa kupigwa risasi
MKAZI wa Kijiji cha Masuguru, Kata ya Masagala, wilayani Kishapu, Juma Masalu (25), ameuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia katika mgodi wa Almasi unaomilikiwa na Wiliamson Diamond. Kaimu Kamanda...
10 years ago
CloudsFM23 Jun
Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally achaguliwa kuwa Kaimu Mufti.
Uteuzi huo unatokana na kifo cha Mufti Issa Shaaban Bin Simba siku saba zilizopita.
Akizungumza jana na waandishi wa habari, katibu mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila alisema uchaguzi wa kumpata kaimu mufti ulifanywa kwa siku saba tangu kufariki kwa Mufti Simba.
Mufti Simba alifariki dunia Juni 15, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/singida-oct18-2014.jpg)
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Iglansoni, ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani kwa bahati mbaya na askari polisi waliokuwa katika jitihada za kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi.
Aliyeuawa ni Joyce Maragabu (65), ambaye anadaiwa kupigwa risasi na askari hao waliokuwa wakijihami na kundi la watu waliotaka kuwavamia ili wasimkamate mhalifu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela, alisema askari hao walikuwa wanataka kumkamata, Nkida...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Mfanyakazi wa Zantel auawa kwa kupigwa risasi
Meneja wa operesheni wa kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Zantel, Gabriel Rafael ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPWbjh-EJaCP*l9AOvQ0G2eAi0F-lhFQY4Fkw7jfWgWAI0vjd6uXqI4ephqdGWKPRoVn0Ef8JvcCKXUKM*MG1TRU/MEYA.jpg)
MEYA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MKEWE
Daniel Crespo enzi za uhai wake. MEYA wa Bell Gardens, California nchini Marekani, Daniel Crespo ameuawa jana kwa kupigwa risasi na mkewe nyumbani kwake. Crespo alipigwa risasi wakati wa mzozo baina yake na mkewe ambapo mtoto wao wa kiume mwenye miaka 19 alijaribu kuingilia na kusukumwa na baba yake ndipo mtuhumiwa alipofyatua risasi. Marehemu alipoteza maisha akiwa njiani kupelekwa katika hospitali iliyo karibu na nyumbani...
10 years ago
GPLKADA WA CHADEMA AUAWA KWA KUPIGWA MSHALE WA TUMBONI
Mwili wa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Marwa Omtima ukizikwa.
IGENGA MTATIRO, TARIME MKAZI wa Kitongoji cha Nyaiheta, Kijiji cha Kewanja Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara, Marwa Omtima (55)Â ambaye ni kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameuawa kwa kupigwa mshale tumboni na mtu aliyetajwa kwa jina la Gamaina, mkazi wa kitongoji hicho kulipotokea ugomvi usiku wa Machi 5, mwaka huu....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania