Miili 5 yapatikana mgodini A. Kusini
Miili ya wachimba migodi haramu watano, imepatikana karibu na mgodi ambao ulikuwa hautumiki nchini Afrika Kusini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Miili 8 yapatikana mgodini A. Kusini
Waokozi nchini Afrika Kusini wanasema kuwa wamepata miili 8 ndani ya mgodi walimokuwa wamekwama wachimba migodi.
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Miili ya watu 15 yapatikana CAR
Shirika la msalaba mwekundu Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati linasema kuwa limefanikiwa kupata miili ya watu 15 ambao wameuawa tangu siku ya Jumamosi.
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Miili 3 yapatikana Amazon Brazil
Viongozi wasema wamepata miili ya wafanyikazi watatu wa kampuni ya kusambaza umeme ya serikali waliotoweka mwezi Desemba
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Miili ya watu 34 yapatikana Bujumbura
Miili zaidi ya 34 imepatikana katika barabara za mji mkuu wa Burundi huku machafuko yakiendelea.
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Miili ya wahamiaji yapatikana Austria
Maafisa wa Austria wamesema wamegundua miilli ya wahamiaji iliachwa ndani ya lori karibu na mpaka wa nchi hiyo na Hungary
9 years ago
BBCSwahili04 Oct
Miili ya watu 8 yapatikana barabarani Burundi
Mwandishi BBC mjini humo, anasema baadhi ya miili ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa kamba kabla ya kuuawa.
9 years ago
BBCSwahili15 Nov
Miili ya Waafrika 15 yapatikana Sinai Misri
Polisi wa Misri wanasema wamegundua miili ya wa-Afrika 15, ambao inaonekana walipigwa risasi na kuuawa
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
Burundi:miili yapatikana ziwa Rweru
Burundi imeanzisha uchunguzi baada ya miili ya watu kupatikana ikielea katika ziwa la mpakani na Rwanda.
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
17 wakwama mgodini Afrika Kusini
Vikosi vya uokozi vimeingia katika mgodi wa dhahabu nchini Afrika Kusini kujaribu kuwaokoa wafanyakazi 17 waliokwama ndani ya mgodi huo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania