Wafanyakazi 300 wadhurika mgodini
WAFANYAKAZI zaidi ya 300 wa mgodi wa dhababu wa Bulyanhulu wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameachishwa kazi baada ya kupata madhara wakiwa kazini huku Bunge likieleza kwamba baadhi wako katika hali mbaya wakisaka msaada juu ya hatua hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Maafa mgodini
NA WILIUM PAUL, MOSHI
WATU wawili wamefariki dunia papo hapo, baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya Longoma, yaliyoko Kilema Kusini, Moshi mkoani Kilimanjaro.
Tukio hili linakuja wakati wananchi mkoani Kilimanjaro wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza ndugu zao saba waliofukiwa mwishoni mwa mwaka jana, katika maporomoko kwenye machimbo ya Pumwani, mwishoni mwa mwaka jana.
Tukio hili lilitokea juzi, saa nane mchana baada ya vijana wawili, Adrian Blessing na Shukuru Temu, wenye umri kati ya...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
Watano wafia mgodini
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wawili wafa mgodini
WATU wawili wamefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka na kuanguka ndani ya shimo la kuchimba dhahabu la Gokona la mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo katika Kijiji...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lQlwXT3A0WY/VVCjZPpkADI/AAAAAAAAAfc/8kYjlUkg5Pg/s72-c/IMG_9237.jpg)
WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-lQlwXT3A0WY/VVCjZPpkADI/AAAAAAAAAfc/8kYjlUkg5Pg/s640/IMG_9237.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HhmYtWT8pac/VVCskTnEQ5I/AAAAAAAAAf8/tbURmo3pEnA/s640/IMG_9242.jpg)
11 years ago
Dewji Blog01 May
Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar
Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.
Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-AdtcxNRKtkg/XqujR67PQjI/AAAAAAAC4TM/O0Si7vUkVQsQRN7AYD9dVF0h3wdmNVR5ACLcBGAsYHQ/s72-c/pic%2Buchaguzi.gif)
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Miili 8 yapatikana mgodini A. Kusini
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
17 wakwama mgodini Afrika Kusini
10 years ago
Habarileo18 Apr
Wachimbaji wadogo 19 wafia mgodini
WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu ‘manyani’, wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.