MH. SUMAYE ATEMBELEA MIRERANI
.jpg)
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye (katikati) na mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, wakiagana na viongozi wa dini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati na Usharika wa Purana Mirerani, baada ya kuzindua DVD ya kwaya ya Sauti ya mtu aliaye nyikani ambapo sh18 milioni zilipatikana.
Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye (katikati) akinong'onezwa jambo na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, kwenye Kanisa la KKKT Dayosisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSUMAYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
11 years ago
GPL
WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO
10 years ago
Michuzi.jpg)
sumaye atembelea oisi za mwakilshi wa kudumu wa tanzania katika umoja wa mataifa jijini New york
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo.jpg)
WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA NEW YORK
.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Wachimbaji wafa mgodini Mirerani
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WACHIMBAJI wadogo wawili katika mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kulipuliwa na baruti wakiwa mgodini.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki, alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa 7:30 mchana, eneo la Kitalu B, Mirerani, katika mgodi unaomilikiwa na Mike Oscar (34), mkazi wa Sanya Juu, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa baruti hiyo ilipigwa kutoka katika mgodi unaomilikiwa na...
11 years ago
Mwananchi30 Aug
Uwekezaji ulivyoua Mji wa Mirerani
11 years ago
Daily News10 Jul
Mirerani mineral dealer gets shot
Daily News
A MINERAL dealer, Mr Daudi Madaha, who specialises with the Tanzanite Gemstones trading, was shot in the chest while relaxing at a drinking pub in the Zaire township of Mirerani mining hills in Simanjiro District. The Manyara Regional Police Commander ...
10 years ago
Habarileo15 Mar
Madini wafikiria kuwasaidia Mirerani
WIZARA ya Nishati na Madini inaangalia uwezekano wa kuwafidia wamiliki wa wachimbaji wadogo wa machimbo ya madini ya tanzanite yaliyoko Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara baada ya kuunguliwa kwa kambi zao 16 ya uchimbaji wa madini hayo.
11 years ago
Mwananchi13 Sep
Uwekezaji ulivyoua Mji wa Mirerani-2