Makazi ya wachimbaji 3,500 Mirerani yateketea
MOTO mkubwa uliozuka usiku wa kuamkia jana katika machimbo ya madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara, umeteketeza kabisa makambi ya migodi 17, ikiwemo mitambo ya uchimbaji, na kusababisha wachimbaji zaidi ya 3,500 kukosa makazi, huku ajira zao sasa zikiwa shakani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Wachimbaji wafa mgodini Mirerani
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
WACHIMBAJI wadogo wawili katika mji mdogo wa Mirerani, wilayani Simanjiro, wamekufa na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya kulipuliwa na baruti wakiwa mgodini.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Deusdedit Nsimeki, alisema tukio hilo lilitokea juzi, saa 7:30 mchana, eneo la Kitalu B, Mirerani, katika mgodi unaomilikiwa na Mike Oscar (34), mkazi wa Sanya Juu, wilayani Siha, mkoani Kilimanjaro.
Imeelezwa kuwa baruti hiyo ilipigwa kutoka katika mgodi unaomilikiwa na...
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Kinana sasa awapoza wachimbaji Mirerani
Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana amesema Serikali imesitisha uamuzi wa kufuta leseni ya migodi 18 ya madini ya tanzanite kwenye mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro inayopakana na Kampuni ya TanzaniteOne.
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Wachimbaji wadogo Mirerani walia na Wizara
Wachimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamelalamikia kitendo cha Wizara ya Nishati na Madini kusimamisha migodi yao inayopakana na Kampuni ya Tanzanite.
9 years ago
Michuziwachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao
Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanatarajia kuandamana kwa amani ili kupinga migodi yao 19 inayopakana na kampuni ya TanzaniteOne kufungiwa. Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Omary Mandari akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi. Mwanachama wa...
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Makazi duni Nigeria: Makazi duni Lagos yako juu ya maji
Mamilioni ya raia wa Nigeria wanaishi katika maisha duni kupita kiasi.
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Familia yateketea Moro
Siku moja baada ya watu 25 kuripotiwa kufa kwa ajali tofauti nchini ikiwamo iliyoua familia mkoani Singida, familia nyingine ya watu wanne imeteketea kwa moto ndani ya nyumba katika Kijiji cha Iputi wilayani Ulanga mkoani Morogoro.
10 years ago
Habarileo18 Jul
Ofisi ya DED yateketea
JENGO la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo limeteketea kwa moto.
11 years ago
MichuziMH. SUMAYE ATEMBELEA MIRERANI
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye (katikati) na mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, wakiagana na viongozi wa dini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati na Usharika wa Purana Mirerani, baada ya kuzindua DVD ya kwaya ya Sauti ya mtu aliaye nyikani ambapo sh18 milioni zilipatikana.Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye (katikati) akinong'onezwa jambo na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, kwenye Kanisa la KKKT Dayosisi...
11 years ago
GPLNYUMBA YA MSANII WA FILAMU YATEKETEA
Ashura Rashid ‘Saladini’. NYUMBA ya msanii wa filamu za Kibongo aliyewahi kutamba na muvi kali ya Saladini, Ashura Rashid ‘Saladini’ imeteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa, huku msanii huyo akihaha kusaka hifadhi kwa majirani, Chande Abdallah anakujuza. Tukio hilo lilitokea asubuhi ya Machi 6, mwaka huu maeneo ya Bugando jijini Mwanza wakati msanii huyo akiwa kwa majirani zake ambapo chanzo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania