Ebola yazua kasheshe DRC
Licha ya kuzuka homa ya Ebola Afrika Magharibi, baadhi nchini (DRC) wanafikiri maradhi hayo ni uongo mtupu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAITI YA DENTI CBE YAZUA KASHESHE
Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, MWANZA
KWELI dunia ina mambo! Kijana Abel Dafe 21, (pichani) mkazi wa Kayenze, Mwaloni jijini Mwanza amezua sintofahamu ya aina yake baada ya kudaiwa kufariki dunia na maiti yake kuzikwa wiki chache zilizopita na baadaye kuonekana akiwa hai, bali denti wa Chuo cha Biashara (CBE) Tawi la Mwanza ndiye akidaiwa kufa. Desemba 2, mwaka huu, Abel alidaiwa kufa maji akiogelea katika Ziwa Victoria...
10 years ago
Vijimambo12 Dec
Ajali ya Noah iliyoua yazua kasheshe
Watu wawili wamekufa na wanane kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Mwada na kuhusisha gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Magara kuelekea Magugu na Babati.
Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...
Aidha, ajali hiyo ilizua mvutano mkubwa baada ya wahudumu na maofisa wa kituo cha afya kugoma kupokea majeruhi wakidai wapewe fedha kwanza.
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Deus Nsimeki, alitaja gari hilo kuwa ni T .728 CLV na kuwa dereva wake, Kazumba Musa aliyekimbia baada ya ajali hiyo, anatafutwa.
Alisema...
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Ebola yazua hofu Nigeria
Ugonjwa wa Ebola wazua hofu nchini Nigeria huku serikali ikipanga mikakati ya kukabiliana na homa hiyo.
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Ebola yazua taharuki duniani
Shirika la afya duniani WHO limetangaza kuenea kwa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika kama janga la dharura la kimataifa
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Hofu ya Ebola DRC
Watu wanne wamefariki dunia wakiwa na dalili za ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Ebola yapiga hodi DRC
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imebaini kuwepo kwa mlipuko wa maradhi ya homa kali maeneo ya Kaskazini mwa nchi hiyo, ambayo sasa imethibitika kuwa ni ugonjwa wa ebola.
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
31 wafariki kutokana na Ebola DRC
Shirika la afya duniani likishirikiana na wizara ya afya DRC imesema kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo umewaua watu 31.
10 years ago
BBCSwahili15 Nov
Ebola yaisha DRC, yaongezeka S-Leone
Jamhuri ya Demokrasi ya Congo yasema Ebola yamalizika nchini humo huku daktari wa Sierra Leone apelekwa Marekani kutibiwa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania