Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola yazua taharuki duniani

Shirika la afya duniani WHO limetangaza kuenea kwa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika kama janga la dharura la kimataifa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kemikali Kisarawe yazua taharuki

Mafundi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wakikarabati kipande cha reli mwishoni mwa wiki kilichoharibika baada ya treni ya mizigo iliyokuwa imebeba shehena ya madini ya salfa kuanguka katika Daraja la mto Mpiji, kijiji cha Kifuru, wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani. (Picha na Fadhili Akida).SHEHENA ya kemikali ya salfa iliyoachwa Kijiji cha Kifuru, wilayani Kisararwe na Mamlaka ya Reli ya Tazara na Zambia (Tazara) baada ya treni yake ya mizigo kupata ajali, huenda ikawa tatizo kubwa kwa taifa kama itachelewa kuondolewa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya wahubiri yazua taharuki Mandera

Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi, kuwatawanya vijana wanaopinga mauaji ya wahubiri wawili wa kiisilamu mjini Mandera,Kaskazini mwa Kenya

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mgonjwa wa ebola azua taharuki


NA RODRICK MAKUNDI NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
WANANCHI wa Kata ya Shirimatunda katika Manispaa ya Moshi,  Kilimanjaro, wamepatwa na taharuki kutokana na taarifa za kuwepo  mgonjwa anayedhaniwa kuwa na ebola.
Mgonjwa huyo, ambaye amelazwa katika zahanati iliyoko kwenye kata hiyo, amesababisha huduma kusitishwa na zahanati kufungwa kwa muda huku wagonjwa waliokuwa wakipatiwa matibabu wakihamishiwa katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata.
Habari zaidi zimeeleza kuwa mgonjwa huyo, aliwasili katika Uwanja wa...

 

10 years ago

GPL

TAHARUKI YA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA, KENYA

TAHARUKI imezuka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi nchini Kenya, leo asubuhi baada ya abiria aliyekuwa mgonjwa kufariki dunia muda mfupi alipowasili uwanjani hapo. Abiria huyo mwanamke alikuwa akitokea Juba, Sudan Kusini lakini kukawepo tetesi kuwa huenda amefariki kwa ugonjwa wa Ebola. Vipimo vya madaktari vimeonesha kuwa mgonjwa huyo hakufa kwa Homa ya Ebola. Katibu wa Afya wa Baraza la...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kanda ya Tyson akifanya mazoezi yazua mshawasha duniani

Zaidi ya miaka 33 baadaye, bondia huyo wa zamani alietia fora bado anaweza kujivunia kuwa mtu hatari zaidi duniani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua kasheshe DRC

Licha ya kuzuka homa ya Ebola Afrika Magharibi, baadhi nchini (DRC) wanafikiri maradhi hayo ni uongo mtupu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua hofu Nigeria

Ugonjwa wa Ebola wazua hofu nchini Nigeria huku serikali ikipanga mikakati ya kukabiliana na homa hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Ebola yabainisha udhaifu mifumo ya afya duniani

Rais Jakaya KikweteMKUTANO mkubwa wa kimataifa kuhusu masuala ya afya umeelezwa kuwa ugonjwa wa ebola umethibitisha kuwa dunia haijajenga uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa makubwa ya mlipuko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani