Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kemikali Kisarawe yazua taharuki

Mafundi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wakikarabati kipande cha reli mwishoni mwa wiki kilichoharibika baada ya treni ya mizigo iliyokuwa imebeba shehena ya madini ya salfa kuanguka katika Daraja la mto Mpiji, kijiji cha Kifuru, wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani. (Picha na Fadhili Akida).SHEHENA ya kemikali ya salfa iliyoachwa Kijiji cha Kifuru, wilayani Kisararwe na Mamlaka ya Reli ya Tazara na Zambia (Tazara) baada ya treni yake ya mizigo kupata ajali, huenda ikawa tatizo kubwa kwa taifa kama itachelewa kuondolewa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ebola yazua taharuki duniani

Shirika la afya duniani WHO limetangaza kuenea kwa ugonjwa wa Ebola magharibi mwa Afrika kama janga la dharura la kimataifa

 

11 years ago

BBCSwahili

Mauaji ya wahubiri yazua taharuki Mandera

Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi, kuwatawanya vijana wanaopinga mauaji ya wahubiri wawili wa kiisilamu mjini Mandera,Kaskazini mwa Kenya

 

9 years ago

Mtanzania

JK azua taharuki

Pg 4 oct 15NA MWANDISHI WETU, DODOMA

RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kemikali mwilini mwako II

PUFF, ni neno la kiingereza likimaanisha aidha ‘…kuvuta hewa kwenda ndani ya mwili wako na hata kutoa nje wakitumia sentensi isemayo "…puff out".  Nimeliandika hivyo kwani limezoeleka kwa wavutaji wengi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Taharuki yatanda Ukraine

Hali ya wasiwasi imetanda eneo la Crimea kufuatia kuuawa kwa afisa mmoja wa kijeshi kwa kupigwa risasi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Silaha za kemikali zatumika Syria

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa umeruhusu timu ya uchunguzi kufuatilia ni nani wanaohusika na mashambulizi ya silaha za Kemikali nchini Syria.

 

10 years ago

Habarileo

Wasafirishaji kemikali wakumbushwa kujisajili

Profesa Samwel ManyeleWAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) umeagiza wasafirishaji wa kemikali wote nchini ambao hawajasajiliwa kufanya usajili kabla ya Desemba 31, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya kemikali ipunguzwe-Sakasa

Serikali inapaswa kuangalia uwezekano wa kupunguza bei ya kemikali za maabara kwa shule za Sekondari, hali itakayowezesha shule mbalimbali kumudu kuzinunua kwa gharama ya wastani na kuzitumia kwa masomo ya sayansi kwa vitendo kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi .

 

10 years ago

Habarileo

Programu ya kuzuia ajali za kemikali

OFISI ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imezindua rasmi programu ya kuzuia na kupambana na ajali zitokanazo na kemikali, ambayo inatarajiwa kupunguza tatizo hilo hasa kutokana na ajali hizo kuongezeka. Mpango huo ambao umezinduliwa jijini Dar es Salaam unalenga kuangalia jinsi, ajali hizo zitakavyodhibitiwa kwa kuwa katika baadhi ya ajali za kemikali zilizotokea zimesababisha madhara makubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani