Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei ya kemikali ipunguzwe-Sakasa

Serikali inapaswa kuangalia uwezekano wa kupunguza bei ya kemikali za maabara kwa shule za Sekondari, hali itakayowezesha shule mbalimbali kumudu kuzinunua kwa gharama ya wastani na kuzitumia kwa masomo ya sayansi kwa vitendo kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kenyatta:Lazima mishahara ipunguzwe

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ameamuru wakuu wa mashirika ya serikali kukubali mishahara yao kupunguzwa kwa asilimia 20, la sivyo waachishwe kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kodi vifaa vya ujenzi ipunguzwe’

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah amesema watapambana kuhakikisha kodi katika vifaa vya ujenzi inapunguzwa ili kila mwananchi aweze kumiliki nyumba bora.

 

11 years ago

Habarileo

Wataka posho Bunge Maalumu ipunguzwe hadi 170,000/-

WAKAZI wa wilaya za Tarime na Rorya mkoani Mara, wameshauri kupunguzwa kwa posho za wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba kutoka Sh 300,000 hadi Sh 170,000 ambazo walisema ni za kawaida kwa vikao vya Bunge.

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA WAFANYAKAZI WAOMBA KODI IPUNGUZWE

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .…
...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2

Upungufu  wa chakula kwa baadhi ya mikoa nchini umeendelea kusababisha ongezeko la mfumuko wa bei wa Taifa kutoka asilimia 4.2 hadi asilimia 4.2 ndani ya mwezi mmoja.

 

5 years ago

Michuzi

BEI YA SUKARI YATANGAZWA, SERIKALI YAONYA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI KIHOLELA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa akizungumza na wandishi wa habari leo katika mkutano wa pamoja na Waziri wa Kilimo ambapo wametangaza bei mpya ya sukari na kutoa onyo kwa wafanyabiashara ambao watapandisha bei kiholela.Waziri wa Kilimo, Josephat Hasunga (kulia) akitangaza bei mpya ya sukari nchini baada ya sukari kupanda ghafla katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Corona, pembeni yake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa.
Charles James, Michuzi TVSERIKALI...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kemikali mwilini mwako II

PUFF, ni neno la kiingereza likimaanisha aidha ‘…kuvuta hewa kwenda ndani ya mwili wako na hata kutoa nje wakitumia sentensi isemayo "…puff out".  Nimeliandika hivyo kwani limezoeleka kwa wavutaji wengi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Silaha za kemikali zatumika Syria

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa umeruhusu timu ya uchunguzi kufuatilia ni nani wanaohusika na mashambulizi ya silaha za Kemikali nchini Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kemikali za Xenon na Argon marufuku

Taasisi ya kuzuia dawa za kuongeza nguvu michezoni imezuia Xenon na argon.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani