Taharuki yatanda Ukraine
Hali ya wasiwasi imetanda eneo la Crimea kufuatia kuuawa kwa afisa mmoja wa kijeshi kwa kupigwa risasi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Hali ya taharuki yatanda Bangui
10 years ago
Habarileo14 Oct
Taharuki yatanda wizi wa watoto Dar
TAARIFA za kuwepo watu wanaoteka na kuua watoto wadogo zimesababisha taharuki kubwa katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, hali ambayo mamlaka zinazohusika na usalama wa raia, zimeombwa kueleza undani wa matukio hayo.
9 years ago
Mtanzania15 Oct
JK azua taharuki
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...
11 years ago
BBCSwahili03 May
Mashambulizi yatanda nchini Misri
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Hofu ya mapigano yatanda Kilwa
Na Bakari Kimwanga, Aliyekuwa Kilwa
HOFU ya mapigano kati ya wakulima na wafugaji imetanda wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni uvamizi unaofanywa na wafugaji kwa kuingiza mifugo yao mashambani na kuharibu vyanzo vya maji.
Hatua hiyo inatokana na wafugaji waliopewa eneo la malisho kushindwa kuandaa malambo kwa ajili ya kunyweshea mifugo yao.
Wakizungumza na timu ya waandishi wa habari wa za mazingira waliokwenda katika Kijiji cha Hoteli Tatu, kwa ajili ya...
10 years ago
Mwananchi21 May
Hofu ya mabomu yatanda Njombe
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Hofu Ukawa kuvunjika yatanda
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia, amewataka viongozi na wanachama wa umoja huo kuheshimu makubaliano yaliyomo kwenye mwongozo waliotiliana saini mwaka jana.
Mbatia alitoa angalizo hilo baada ya kuwepo kwa viashiria kwa baadhi ya vyama ndani ya umoja huo kwenda kinyume na walichokubaliana hasa kuachiana majimbo kwa wagombea wabunge na udiwani.
Wiki hii kumekuwapo taarifa katika baadhi ya majimbo kwamba kuna vyama ndani ya Ukawa vimeweka wagombea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oM0sMrsP7-v0okXqveHDSRleljE2CN1QIPnXMrCFComGycSaum2n4H1jYxeMSrdoLQtAcXc51Sez6rGDzq2OJnJ/BOMU.jpg)
MABOMU ZENJI, HOFU YATANDA
9 years ago
Mzalendo Zanzibar09 Oct
Khofu yatanda Uchaguzi Mkuu
Ikiwa zimebaki siku 14 kufikia kilele cha siku ya uchaguzi mkuu 2015, hali ya khofu na woga umeanza kuwaingia wananchi wa Tanzania. Pande zote za Tanganyika na Zanzibar kwa pamoja wananchi wake wamingiwa na khofu ya […]
The post Khofu yatanda Uchaguzi Mkuu appeared first on Mzalendo.net.