Hali ya taharuki yatanda Bangui
UN inasema usalama katika mji mkuu wa Jamuhuri ya Afrika ya Kati umeendelea kuzorota, huku taharuki ikitanda kati ya walinda amani na wapiganaji wa kikristo Anti -Balaka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Taharuki yatanda Ukraine
Hali ya wasiwasi imetanda eneo la Crimea kufuatia kuuawa kwa afisa mmoja wa kijeshi kwa kupigwa risasi.
10 years ago
Habarileo14 Oct
Taharuki yatanda wizi wa watoto Dar
TAARIFA za kuwepo watu wanaoteka na kuua watoto wadogo zimesababisha taharuki kubwa katika Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, hali ambayo mamlaka zinazohusika na usalama wa raia, zimeombwa kueleza undani wa matukio hayo.
5 years ago
MichuziTMA yatolea ufafanuzi juu ya taharuki ya hali ya anga kuwa na Rangi mbili
Na Karama Kenyunko globu ya jamii.
KUFUATIA kuwepo kwa taharuki na maswali kutoka kwa Umma juu ya muonekano wa anga kuwa na rangi nyekundu au ya chungwa jana Aprili 16,2020 katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Hali ya hewa nchini TMA imetolea ufafanuzi hali hiyo na kusema kuwa ni hali ya kawaida kutokea.
Katika taarifa yake iliyotolewa leo Aprili 17, 2020 imeeleza kuwa, hali hiyo hutokea wakati jua linapozama au kuchomoza katika mazingira yenye kuwa na hali ya hewa kama vile mawingu,...

BBCVIDEO: 'Hunger for vengeance' in Bangui
Thomas Fessy reports from Bangui, where mob rule on the streets has already left two men dead.
11 years ago
BBCGrenade attack 'kills 20' in Bangui
A grenade attack on a wake in Bangui, capital of the Central African Republic, has killed 20 people, a government minister says.
11 years ago
BBCCAR clashes 'kill 35' in Bangui
Fighting in the capital of Central African Republic over the last three days has left 35 people dead, the Red Cross says.
11 years ago
BBCMuslims leave CAR capital Bangui
Peacekeepers escort a convoy of more than 1,200 Muslims out of Bangui, the capital of the Central African Republic.
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Waisilamu wautoroka mji wa Bangui tena
Walinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamewaondosha waisilamu,1,200, kutoka mji mkuu Bangui kutokana na tisho la usalama wao.
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Watu 20 waua katika mapigano Bangui
Watu 20 wameripotiwa kufariki kufuatia mapigano makali yaliyoibuka mjini Bangui katika jamhuri ya Afrika ya Kati.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania