Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 20 waua katika mapigano Bangui

Watu 20 wameripotiwa kufariki kufuatia mapigano makali yaliyoibuka mjini Bangui katika jamhuri ya Afrika ya Kati.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WATU 20 WAUAWA KATIKA MAPIGANO BANGUI

Vijana wakiziba barabara kwa kuchoma matairi. Daktari mmoja wa jeshi ameiambia shirika la habari la AFP kuwa zaidi ya watu 100 walijeruhiwa katika makabiliano baina ya waislamu na wakristu katika eneo la PK-5. Wenyeji wa Bangui wakitoroka makwao kufuatia ghasia hizo. Makabiliano hayo yalitibuka baada ya mauaji ya mwendesha bodaboda ambaye alikuwa ni muislamu.
Eneo hilo la PK-5 ndilo lililokuwa chimbuko la mapaigano ya wenyewe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu kadhaa waua katika milipuko Nigeria

Milipuko imetokea katika msikiti, na sehemu ya kuuza vyakula mjini Jos na mwingine wa kujitoa muhanga katika kanisa huko Patiskum

 

9 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa kipindupindu waua watu 3 TZ

Watu 3 wameaga dunia na wengine 30 wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu mjini Dar es salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji waua watu 29 Borno

Kundi la wapiganaji waisilamu limewaua takriban watu 29 katika mji mmoja Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, jimbo la Borno.

 

11 years ago

BBCSwahili

Magaidi waua watu 6 Kenya

Polisi mjini Nairobi Kenya wamedhibitisha watu 6 wameauawa baada ya shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko waua watu 27 Uturuki

Watu 27 wameuawa na 100 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea muda mchache uliopita katika mji wa Uturuki wa Suruc.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu zaidi watoroka mapigano Burundi

Watu zaidi wameendelea kutoroka mji wa Bujumbura nchini Burundi baada ya kuongezeka kwa mapigano.

 

9 years ago

BBCSwahili

Video- Al shabab waua watu 15 Mogadishu

Utawala nchini Somalia unasema kuwa takriban watu 15 wameuwa wanamgambo waliposhambulia hoteli moja mjini Mogadishu

 

10 years ago

BBCSwahili

IS waua zaidi ya watu 300 Iraq

Iraq imesema wapiganaji wa Islamic State wameua zaidi ya watu 300 wa madhehebu ya Sunni katika jimbo la Anbar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani