Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapiganaji waua watu 29 Borno

Kundi la wapiganaji waisilamu limewaua takriban watu 29 katika mji mmoja Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, jimbo la Borno.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Watu 7 wauawa na wapiganaji Cameroon

Zaidi ya watu 7 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio linaloaminika kufanywa na kundi la wapiganaji wa Boko Haram huko kaskazini mwa Cameroon.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko waua watu 27 Uturuki

Watu 27 wameuawa na 100 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu lililotokea muda mchache uliopita katika mji wa Uturuki wa Suruc.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko wa kipindupindu waua watu 3 TZ

Watu 3 wameaga dunia na wengine 30 wamelazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu mjini Dar es salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Magaidi waua watu 6 Kenya

Polisi mjini Nairobi Kenya wamedhibitisha watu 6 wameauawa baada ya shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh

 

11 years ago

BBCSwahili

IS waua zaidi ya watu 300 Iraq

Iraq imesema wapiganaji wa Islamic State wameua zaidi ya watu 300 wa madhehebu ya Sunni katika jimbo la Anbar.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko waua watu watano Nigeria

Takriban watu watano wameripotiwa kuuawa katika mlipuko uliotokea sokoni Maiduguri kaskazini mwa Nigeria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko waua watu 10 nchini Nigeria

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea mjini Bauchi Kaskazini mwa nchi hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Video- Al shabab waua watu 15 Mogadishu

Utawala nchini Somalia unasema kuwa takriban watu 15 wameuwa wanamgambo waliposhambulia hoteli moja mjini Mogadishu

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 20 waua katika mapigano Bangui

Watu 20 wameripotiwa kufariki kufuatia mapigano makali yaliyoibuka mjini Bangui katika jamhuri ya Afrika ya Kati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani