WATU 20 WAUAWA KATIKA MAPIGANO BANGUI
Vijana wakiziba barabara kwa kuchoma matairi. Daktari mmoja wa jeshi ameiambia shirika la habari la AFP kuwa zaidi ya watu 100 walijeruhiwa katika makabiliano baina ya waislamu na wakristu katika eneo la PK-5. Wenyeji wa Bangui wakitoroka makwao kufuatia ghasia hizo. Makabiliano hayo yalitibuka baada ya mauaji ya mwendesha bodaboda ambaye alikuwa ni muislamu. Eneo hilo la PK-5 ndilo lililokuwa chimbuko la mapaigano ya wenyewe...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Watu 20 waua katika mapigano Bangui
11 years ago
BBCSwahili13 May
10 wauawa katika mapigano Somalia
10 years ago
BBCSwahili04 May
Watu 2 wauawa katika maandamano Burundi
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Watu 3 wauawa katika vita Somalia
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Watu 70 wauawa katika milipuko Nigeria
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Watu 54 wauawa katika milipuko Nigeria
10 years ago
StarTV05 May
Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi.
Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .
Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.
Ghasia Burundi
Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.
Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.
viagra online pharmacy in australia BBC
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Watu 5 wauawa katika klabu ya burudani
10 years ago
StarTV18 May
Watu 9 wauawa katika shambulio Marekani
Polisi nchini Marekani wamesema kuwa watu tisa wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki katika mkahawa mmoja katika mji wa Waco.
Hata hivyo watu wengine 18 walipelekwa hospitali kupatiwa matibabu kutokana shambulio hilo.
Maofisa katika mji huo wanasema kuwa walibaini mkusanyiko kati ya watu watano walioonekana kupanga jambo lisilo la kawaida.
Watu waliokuwa katika mkahawa huo walijificha katika chumba cha majokofu katika harakati za...