MABOMU ZENJI, HOFU YATANDA
![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oM0sMrsP7-v0okXqveHDSRleljE2CN1QIPnXMrCFComGycSaum2n4H1jYxeMSrdoLQtAcXc51Sez6rGDzq2OJnJ/BOMU.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu, Zanzibar HOFU kubwa kubwa imetanda kwa wananchi wa Zanzibar kufuatia kulipuka kwa bomu lililosababisha kifo cha mtu mmoja hivi karibuni katika eneo la Stone Town, Dajarani mjini humo. Mtoto mdogo ambaye amejeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea maeneo ya Stone Town, Dajarani huko Zanzibar. Tukio hilo ni la pili kwa mwaka huu, baada ya Februari mabomu mawili yaliyotengenezwa kienyeji… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 May
Hofu ya mabomu yatanda Njombe
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Hofu ya Ebola yatanda nchini
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili wake.
Madaktari, wauguzi na ndugu waliomuhudumia mgonjwa huyo, wamewekwa chini ya uangalizi maalumu kwa siku 21 kama hatua ya tahadhari, huku wakisubiri kupokea majibu ya sampuli za vipimo ili kubaini iwapo kweli ni ugonjwa wa Ebola ama la.
Akizungumza na waandishi wa habari...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Hofu Ukawa kuvunjika yatanda
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia, amewataka viongozi na wanachama wa umoja huo kuheshimu makubaliano yaliyomo kwenye mwongozo waliotiliana saini mwaka jana.
Mbatia alitoa angalizo hilo baada ya kuwepo kwa viashiria kwa baadhi ya vyama ndani ya umoja huo kwenda kinyume na walichokubaliana hasa kuachiana majimbo kwa wagombea wabunge na udiwani.
Wiki hii kumekuwapo taarifa katika baadhi ya majimbo kwamba kuna vyama ndani ya Ukawa vimeweka wagombea...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Hofu ya mapigano yatanda Kilwa
Na Bakari Kimwanga, Aliyekuwa Kilwa
HOFU ya mapigano kati ya wakulima na wafugaji imetanda wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni uvamizi unaofanywa na wafugaji kwa kuingiza mifugo yao mashambani na kuharibu vyanzo vya maji.
Hatua hiyo inatokana na wafugaji waliopewa eneo la malisho kushindwa kuandaa malambo kwa ajili ya kunyweshea mifugo yao.
Wakizungumza na timu ya waandishi wa habari wa za mazingira waliokwenda katika Kijiji cha Hoteli Tatu, kwa ajili ya...
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Hofu yatanda kuhusu Ebola Nigeria
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Hofu ya uchaguzi yatanda kwa wafanyabiashara
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Hofu ya vurugu yatanda jimbo la Kalenga
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Ebola: Hofu yatanda Afrika Mashariki
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/SILAHA-1-001.jpg?width=650)
HOFU YATANDA, SILAHA ZA KIVITA KUKAMATWA