Hofu ya vurugu yatanda jimbo la Kalenga
Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Kalenga, zimeanza kuonekana dalili za vitendo vya uvunjifu wa amani baada ya vyama vikuu viwili vinavyokabana koo – CCM na Chadema kuanza kutuhumiana kwa vurugu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA
Akizungumza leo kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Hofu Ukawa kuvunjika yatanda
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia, amewataka viongozi na wanachama wa umoja huo kuheshimu makubaliano yaliyomo kwenye mwongozo waliotiliana saini mwaka jana.
Mbatia alitoa angalizo hilo baada ya kuwepo kwa viashiria kwa baadhi ya vyama ndani ya umoja huo kwenda kinyume na walichokubaliana hasa kuachiana majimbo kwa wagombea wabunge na udiwani.
Wiki hii kumekuwapo taarifa katika baadhi ya majimbo kwamba kuna vyama ndani ya Ukawa vimeweka wagombea...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Hofu ya mapigano yatanda Kilwa
Na Bakari Kimwanga, Aliyekuwa Kilwa
HOFU ya mapigano kati ya wakulima na wafugaji imetanda wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni uvamizi unaofanywa na wafugaji kwa kuingiza mifugo yao mashambani na kuharibu vyanzo vya maji.
Hatua hiyo inatokana na wafugaji waliopewa eneo la malisho kushindwa kuandaa malambo kwa ajili ya kunyweshea mifugo yao.
Wakizungumza na timu ya waandishi wa habari wa za mazingira waliokwenda katika Kijiji cha Hoteli Tatu, kwa ajili ya...
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Hofu ya Ebola yatanda nchini
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili wake.
Madaktari, wauguzi na ndugu waliomuhudumia mgonjwa huyo, wamewekwa chini ya uangalizi maalumu kwa siku 21 kama hatua ya tahadhari, huku wakisubiri kupokea majibu ya sampuli za vipimo ili kubaini iwapo kweli ni ugonjwa wa Ebola ama la.
Akizungumza na waandishi wa habari...
11 years ago
GPLMABOMU ZENJI, HOFU YATANDA
10 years ago
Mwananchi21 May
Hofu ya mabomu yatanda Njombe
11 years ago
MichuziKINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...
11 years ago
Michuzi10 Mar
9 years ago
GPLHOFU YATANDA, SILAHA ZA KIVITA KUKAMATWA