Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hofu ya uchaguzi yatanda kwa wafanyabiashara

Joto la Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 halijapanda kwa wanasiasa pekee, bali limewakumba hata baadhi ya wafanyabiashara ambao imeelezwa kuwa wanasita kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi wakisubiri ‘upepo’ huo upite.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Hofu ya ufaulu yatanda kwa wanafunzi wa Kidato cha nne

Ikiwa zimebaki siku chache ya kufanyika mitihani ya kidato cha nne bado hofu ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato hicho imetanda ikilinganishwa na ufaulu kwa wahitimu wa kidato cha Sita.

Wadau wa elimu wanaelezwa kuwa kiwango cha ufaulu cha kidato cha nne kipo chini ikilinganishwa na ufaulu wa kidato cha sita hali inayosababisha vijana wengi kushindwa kuendelea.

 Mkurugenzi wa shule ya sekondari Kassa Charity anasema elimu ndio msingi wa maendeleo kwa kila nchi hivyo amewataka wanafunzi kusoma...

 

9 years ago

StarTV

Hofu yatanda kwa viogozi wa vyama vya siasa mkoani Geita kuhusu Kifo Cha Mawazo

Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie amesema kuna dalili za baadhi ya watu kutaka kuchafua amani iliyopo Wilayani hapo kwa kutoa taarifa zisizo na ukweli juu ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Alphonce Mawazo huku na baadhi ya watu kutishiwa maisha.

Amesema kuwa zipo taarifa za kiintelijensia na pia ushahidi wa ujumbe mfupi unaotishia kuwaua viongozi wa vyama vya siasa Wilaya na Mkoa wa Geita wakihusishwa na tukio la Kifo cha...

 

11 years ago

Michuzi

HOFU YATANDA KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, HUKU WENGINE WAKITAMANI WIKI IJAYO ISIFIKE

Baadhi ya washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa mbele ya Majaji tayari kwa kupewa maoni yao na hatimaye kutaja watakaotoka chomwa na jua la utosi kwa Wiki hii. Kutoka Kulia ni Tishi Abdallah, Katikati ni Mtawa Kapalata na Kushoto ni Joshua Wambura.Anneth Peter (katikati) akiwa mwenye huzuni kubwa kutokana na Mshiriki mwenza kutoka kanda ya Kaskazini Kareb John (hayupo pichani) kutoka kwenye shindano mara baada ya kuchomwa na jua la utosi. Washiriki wawili...

 

11 years ago

GPL

HOFU YATANDA KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, HUKU WENGINE WAKITAMANI WIKI IJAYO ISIFIKE.‏

Baadhi ya washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa mbele ya Majaji tayari kwa kupewa maoni yao na hatimaye kutaja watakaotoka chomwa na jua la utosi kwa Wiki hii. Kutoka Kulia ni Tishi Abdallah, Katikati ni Mtawa Kapalata na Kushoto ni Joshua Wambura.…

 

9 years ago

Mtanzania

Hofu ya mapigano yatanda Kilwa

20130419_095310Na Bakari Kimwanga, Aliyekuwa Kilwa

HOFU ya mapigano kati ya wakulima na wafugaji imetanda wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni uvamizi unaofanywa na wafugaji kwa kuingiza mifugo yao mashambani na kuharibu  vyanzo vya maji.

Hatua hiyo inatokana na wafugaji waliopewa eneo la malisho kushindwa kuandaa malambo kwa ajili ya kunyweshea mifugo yao.

Wakizungumza na timu ya waandishi wa habari wa za mazingira waliokwenda katika Kijiji cha Hoteli Tatu, kwa ajili ya...

 

11 years ago

GPL

MABOMU ZENJI, HOFU YATANDA

Stori: Mwandishi Wetu, Zanzibar HOFU kubwa kubwa imetanda kwa wananchi wa Zanzibar kufuatia kulipuka kwa bomu lililosababisha kifo cha mtu mmoja hivi karibuni katika eneo la Stone Town, Dajarani mjini humo. Mtoto mdogo ambaye amejeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea maeneo ya Stone Town, Dajarani huko Zanzibar. Tukio hilo ni la pili kwa mwaka huu, baada ya Februari mabomu mawili yaliyotengenezwa kienyeji… ...

 

10 years ago

Mtanzania

Hofu ya Ebola yatanda nchini

20150810_182328NA EDITHA KARLO, KIGOMA

RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili wake.

Madaktari, wauguzi na ndugu waliomuhudumia mgonjwa huyo, wamewekwa chini ya uangalizi maalumu kwa siku 21 kama hatua ya tahadhari, huku wakisubiri kupokea majibu ya sampuli za vipimo ili kubaini iwapo kweli ni ugonjwa wa Ebola ama la.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Mwananchi

Hofu ya mabomu yatanda Njombe

Njombe. Wakazi wa Mji wa Njombe, jana walikumbwa na taharuki kutokana na mabomu ya machozi yaliyopigwa na Polisi kwa lengo la kutawanya waandamanaji waliokuwa wanapinga mauaji ya mkazi mmoja anayedaiwa kupigwa risasi na askari na mwingine kujeruhiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani