Mashambulizi yatanda nchini Misri
Misururu ya ghasia nchini Misri yatanda ,siku moja tu kabla ya kuanza rasmi kwa kampeni za uchaguzi wa urais mwezi huu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Hofu ya Ebola yatanda nchini
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili wake.
Madaktari, wauguzi na ndugu waliomuhudumia mgonjwa huyo, wamewekwa chini ya uangalizi maalumu kwa siku 21 kama hatua ya tahadhari, huku wakisubiri kupokea majibu ya sampuli za vipimo ili kubaini iwapo kweli ni ugonjwa wa Ebola ama la.
Akizungumza na waandishi wa habari...
9 years ago
Global Publishers29 Dec
‘Hackers’ wazuia mashambulizi ya ISIS nchini Italia
Magaidi wa ISIS
Rome, Italia
Kundi la wadukuzi wa mtandaoni (Online Hackers) linalojiita Anonymous, limefanikiwa kuzima shambulizi la kigaidi la kundi la ISIS baada ya kuvamia akaunti zao za mitandao ya kijamii kisha kuwataarifu polisi na wahusika wa eneo shambulio hilo lilipokuwa limepangwa kufanyika.
Kwa mujibu wa Anonymous, shambulio hilo lilipangwa kufanyika Jumatatu, Desemba 28, mwaka huu lakini wakafanikiwa kunasa taarifa za magaidi hao wakati wakipanga mipango yao kisha...
11 years ago
BBCSwahili25 Jan
Kero la usalama nchini Misri
11 years ago
BBCSwahili20 Apr
Polisi wawili wauawa nchini Misri
10 years ago
BBCSwahili27 Sep
Kesi ya Mubarak yaahirishwa nchini Misri
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri auawa
11 years ago
BBCSwahili11 May
Watu 200 kushtakiwa nchini Misri
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mkuu wa polisi auawa nchini Misri
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
683 wahukumiwa kifo nchini Misri