Kiongozi wa mashtaka nchini Misri auawa
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri Hisham Barakat amefariki kutokana na majeraha aliopata baada ya bomu kulipua gari lake mjini Cairo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Jun
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri auawa-BBC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/06/29/150629120620_hisham_barakat_640x360_ap.jpg)
Kiongozi wa mashtaka nchini Misri Hisham Barakat ameuawa kutokana na majeraha aliopata baada ya bomu kulipua gari lake mjini Cairo.
Msafara wa Bwana Barakat ulishambuliwa ulipokuwa ukipitia katika wilaya ya Heliopolis.
Nguvu za shambulio hilo ziliharibu baadhi ya nyumba na maduka.Walinzi wawili wa bwana Barakat pia walijeruhiwa.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/06/29/150629141549_barakat_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Bwana Barakat amekuwa akipendekeza mamia ya wapiganaji hao kufunguliwa mashtaka tangu kupinduliwa kwa rais...
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Kiongozi wa mashtaka ajeruhiwa Misri
Maafisa wa usalama nchini Misri wanasema kuwa shambulio katika mji mkuu, Cairo, limemjeruhi kiongozi wa mashtaka, Hisham Barakat.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZjCFErHAhxYOyXediCm7zgxJhlKLwZmjiWwMbHx5TklfoezTzl2KvSEbUBjg3C4oRvFMnwDvJYbJ7g8s9rUXEEdhpaXXyJY/misri.jpg?width=650)
KIONGOZI WA MASHTAKA MISRI AFARIKI BAADA YA KUJERUHIWA KWENYE SHAMBULIO
Magari yaliyokuwa katika msafara wa Hisham Barakat baada ya kushambuliwa kwa bomu. Mojawapo ya gari likiwa limeharibiwa vibaya baada ya shambulio. Dereva huyu alinusurika…
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mkuu wa polisi auawa nchini Misri
Brigedia Jenerali wa jeshi la polisi nchini Misri ameuawa katika milipuko miwili tofauti iliyotokea kwa wakati mmoja karibu na chuo kikuu cha Cairo.
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Kiongozi wa Al Qaeda nchini Yemen auawa
Tawi la kundi la Al Qaeda nchini Yemen limethibitisha kuuawa kwa kiongozi wake na ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Mwendesha mashtaka Uturuki auawa
Mwendesha mashitaka wa Uturuki ameuawa baada ya kuzuiwa mateka katika mahakama moja mjini Istanbul
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Mkuu wa mashtaka auawa Argentina
Kiongozi wa mashtaka nchini Argentine amepatikana amefariki ndani ya nyumba yake mjini Buenos Aires, baada ya kumshutumu rais
11 years ago
BBCSwahili09 Dec
Kiongozi wa Brotherhood mahakamani Misri
Kiongozi wa vuguvugu la Muslim Brotherhood, amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza tangu kukamatwa kwake.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Kiongozi wa NCCR auawa Serengeti
>Kamishna wa NCCR-Mageuzi Mkoa wa Mara, Stephen Sebeki ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na mtu anayedaiwa kuwa ni hawara wa shemeji yake, chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa nyasi za kuezekea.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania