Kiongozi wa Brotherhood mahakamani Misri
Kiongozi wa vuguvugu la Muslim Brotherhood, amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza tangu kukamatwa kwake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Kiongozi wa Muslim Brotherhood ahakumiwa
Mahakama moja nchini Misri imempatia kifungo cha maisha kiongozi wa Muslim Brotherhood Mohammed Badie na wanachama wengine 36
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Kiongozi wa Brotherhood afungwa maisha
Mahakama moja nchini Misri imempatia kifungo cha maisha kiongozi wa Muslim Brotherhood Mohammed Badie
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Kiongozi wa Muslim Brotherhood kunyongwa
Wakili mmoja nchini Misri ameiambia BBC kwamba mahakama imezingatia hukumu ya kifo cha wanachama 182 wa Muslim Brotherhood .
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KIONGOZI WA BROTHERHOOD AHUKUMIWA KIFO
Baadhi ya jamaa wa watuhumiwa waliohukumiwa kifo walizirai baada ya kupokea taarifa. Baadhi ya jamaa wa watuhumiwa waliohukumiwa kifo walizirai baada ya kupokea taarifa
Jaji wa mahakama nchini Misri, amewahukumu kifo watu 683 akiwemo kiongozi wa kundi la Muslim Brotherhood Mohammed Badie. Mawakili wa watuhumiwa wanasema kuwa wateja wao walikabiliwa na makosa mengi yakiwemo, kushambulia kituo cha polisi mjini Minya mwaka 2013...
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Pigo kwa Muslim Brotherhood Misri
Kiongozi wa kundi lililopigwa marufuku nchini Misri, Muslim Brotherhood amehukumiwa adhabu ya kifo.
11 years ago
BBCSwahili01 Feb
Morsi afikishwa mahakamani Misri
Aliyekuwa Rais wa Misri Mohammed Morsi amefikishwa mahakamani kwa mara nyingine kujibu tuhuma za kuchochea mauaji ya waandamanaji 2012
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Morsi kufika mahakamani Misri
Mohammed Morsi anashatakiwa kwa kosa la mauaji na kuchochea mauaji ya waandamanaji waliopinga uongozi wake.
11 years ago
BBCSwahili20 Feb
Wanahabari kufikishwa mahakamani Misri
Waandishi habari 20 wakiwemo 4 wa kigeni wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo mjini Cairo, Misri baada ya kuhusihwa na ugaidi
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Kiongozi wa mashtaka ajeruhiwa Misri
Maafisa wa usalama nchini Misri wanasema kuwa shambulio katika mji mkuu, Cairo, limemjeruhi kiongozi wa mashtaka, Hisham Barakat.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania