JK azua taharuki
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
Mgonjwa wa ebola azua taharuki
NA RODRICK MAKUNDI NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
WANANCHI wa Kata ya Shirimatunda katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro, wamepatwa na taharuki kutokana na taarifa za kuwepo mgonjwa anayedhaniwa kuwa na ebola.
Mgonjwa huyo, ambaye amelazwa katika zahanati iliyoko kwenye kata hiyo, amesababisha huduma kusitishwa na zahanati kufungwa kwa muda huku wagonjwa waliokuwa wakipatiwa matibabu wakihamishiwa katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata.
Habari zaidi zimeeleza kuwa mgonjwa huyo, aliwasili katika Uwanja wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BIHCTCFFxEVoKx7*TPxQUFubTmmUVSdVcZMSpoHU8Y02B94bTaoMRNi89L7OfxnU1zSxgTqqvaU2O6wwDaDTRP3ANXPxXQJA/nisha.jpg)
NISHA AZUA TAHARUKI HEKALU LA FREEMASON
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Bf1h9DXteW0/XlULAnyvsWI/AAAAAAALfQ0/Nch3cRticLQxCPuFTGbQxWUfIheqLhWwwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200223_130243.jpg)
NG'OMBE MWENYE VICHWA VIWILI, MIDOMO MIWILI NA MACHO MATATU AZUA TAHARUKI
Na Woinde Shizza, Arusha
TAHARUKI kubwa imeibuka kwa wananchi wa Kijiji cha Ngiresi kilichopo kwenye Kata ya Sokoni 2 katika Halmashauri ya Arusha baada kuzaliwa ng'ombe mwenye vichwa viwili ,midomo miwili na macho matatu .
Kuzaliwa kwa ng'ombe huyo katika eneo hilo kumeibua maswali mengi yasiyo na majibu kwa wananchi hao huku wengi wao wakionekana kushangaa.
Akizungumzia tukio hilo, Mmiliki wa ng'ombe huyo Eliakimu Mungasi ameiambia Michuzi Globu ya jamii kwamba wakati anapewa taarifa ya...
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Taharuki yatanda Ukraine
10 years ago
Mwananchi17 Feb
TAHARUKI: Maswali 10 uvamizi Tanga
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Abiria Kigamboni taharuki kubwa
10 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Waganga wazua taharuki Shinyanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga kimeshitushwa na taarifa za kuibuka kwa kundi la waganga wa jadi maarufu kwa jina la ‘Lambalamba’ au ‘Kamchape’ wanaopita vijijini wakiwachangisha wananchi fedha kwa...
10 years ago
Mtanzania11 Apr
Tishio la Al-Shabaab lazua taharuki
Na Mwandishi Wetu
TAARIFA za kundi la kigaidi la Al-Shabaab kutekeleza shambulio katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Arusha jana zilizua taharuki kubwa katika baadhi ya taasisi, vyuo na maeneo mengine, huku baadhi wakibaki wasijue la kufanya.
Hofu kubwa ilitanda jana katika maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo, kutokana na ujumbe ambao umekuwa ukisambazwa muda mrefu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na simu za mkononi, ukidaiwa kutolewa na Umoja wa Mataifa (UN), ukiwatahadharisha watu...
10 years ago
Habarileo25 Jan
Daladala zazua taharuki Mwanza
WAKAZI wa jiji la Mwanza jana wamekumbana na taharuki baada ya barabara ya Nyerere kushindwa kupitika kufuatia madereva wa daladala yanayofanya safari zake kati ya Airport, Bwiru – Igoma/Kishiri kuegesha kwenye barabara hiyo hivyo kusababisha msongamano wa magari.