Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAHARUKI: Maswali 10 uvamizi Tanga

>Tukio la kurushiana risasi kati ya polisi wakishirikiana na askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya watu wanaosadikiwa kuwa majambazi au magaidi limeacha maswali 10 muhimu yanayolifanya lionekane lenye utata

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mlipuko wazua taharuki Tanga, mmoja ashikiiliwa

Polisi Mkoani Tanga inamshikilia mmiliki wa banda la wazi la kuonyesha video, eneo la Amboni Kata ya Chumbageni jijini Tanga kwa mahojiano baada ya kutokea mlipuko wa kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutengeneza kienyeji katika eneo lake.

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

10 years ago

Mwananchi

Taharuki yakumba Jiji la Tanga Polisi wakipambana na majambazi mapango ya Amboni

Hali tete na taharuki imezuka katika jijini la Tanga kwa siku mbili kuanzia jana na leo baada ya kusikika milio ya mabomu na risasi zilizokuwa zikirushwa wakati vikosi vya jeshi la polisi na JWTZ vikishambuliana na kundi linalodaiwa kuwa ni la majambazi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uvamizi ufaransa, 12 wauawa

Watu waliokuwa wamejifunika nyuso zao wamewau takriban watu 12 katika ofisi za gazeti moja la vibonzo la Charlie Hebdo nchini Ufaransa.

 

11 years ago

Mwananchi

Uvamizi wasababishia reli maafa

Uvamizi na uharibifu wa mazingira pembezoni mwa njia za reli, unatajwa kuwa sababu ya kuharibika kwa miundombinu ya reli mara kwa mara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Upinzani Nigeria walaani uvamizi

Chama cha upinzani nchini Nigeria, kimelaani uvamizi uliofanywa na maafisa wa usalama dhidi ya ofisi zake mjini Lagos mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uvamizi wa hoteli nchini Mali

Watu wenye silaha wameshambulia hoteli ya Radisson Blu katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ripoti zinasema.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda yahusishwa na uvamizi A. Kusini

Afrika Kusini imewahusisha wanadiplomasia 3 wa Rwanda waliofurushwa kutoka nchini humo na njama ya mauaji ya wapinzani wa Kagame wanaoishi Afrika Kusini.

 

11 years ago

Michuzi

26 wakamatwa kwa uvamizi wa mashamba

Na John Gagarini, Kibaha
JUMLA ya watu 26 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kuharibu mazao ndani ya shamba.
Pia watu hao wanatuhumiwa kuvamia mashamba na kuingia kwa jinai kukutwa na bangi kete 38 na gramu 250 za bangi pamoja na pombe ya moshi lita 30.

Akithibitisha kwa kutokea tukio hilo alisema kuwa uvamizi huo ulifanywa kwenye vitongoji vitatu tofauti vya Mkonga, Mkombozi na Tambani wilayani Mkuranga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani