Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza

Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu uliotolewa siku tatu zilizopita yameendelea kupingwa, safari hii Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiibua hoja tisa walizoita za propaganda na kasoro nyingine tisa za kiufundi.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti wa CCM waibua maswali-Wadau

Siku moja baada ya CCM kutoa utafiti wake unaoonyesha mgombea wao wa urais, Dk John Magufuli atashinda kwa asilimia 69.3, baadhi ya wasomi wamesema utafiti huo umeibua maswali mengi kwa wananchi.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ukawa waibua madudu 17 daftari la kura.

Friday, October 16, 2015 NA SALOME KITOMARY Waitaka Tume ya Uchaguzi (Nec) kuacha mchezo na daftari hilo kwa kuwa kufanya hivyo ni kutaka kusababisha machafuko nchini. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umeibua madudu 17 katika […]

The post Ukawa waibua madudu 17 daftari la kura. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

9 years ago

Michuzi

Majibu kwa dukukudu kuhusu kura ya maoni ya Uchaguzi Mkuu ya TWAWEZA


Majibu kwa Dukuduku Kuhusu Utafiti Wa Kura Ya Maoni Wa TWAWEZA by Evarist Chahali

 

9 years ago

Mwananchi

MSEMAKWELI : Utafiti wa Twaweza ni somo kwa CCM

Baada ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu Uchaguzi Mkuu, maswali mengi yaliibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli

Asilimia 62 ya wananchi wamesema wako karibu na CCM huku asilimia nyingine 65 wakisema watamchagua mgombea wa CCM, Dk. John Magufuli kuwa rais wa awamu ya tano, matokeo ya utafiti wa Twaweza yaeleza leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani