Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti Twaweza waibeba CCM, asilimia 65 kumchagua Magufuli

Asilimia 62 ya wananchi wamesema wako karibu na CCM huku asilimia nyingine 65 wakisema watamchagua mgombea wa CCM, Dk. John Magufuli kuwa rais wa awamu ya tano, matokeo ya utafiti wa Twaweza yaeleza leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

MSEMAKWELI : Utafiti wa Twaweza ni somo kwa CCM

Baada ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu Uchaguzi Mkuu, maswali mengi yaliibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Utafiti wa Twaweza, Dk Slaa adai ripoti imeandaliwa na Dk Bana kuibeba CCM

Mkurugenzi Mstaafu waTaasisi ya Utafiti ya Twaweza, Rakesh Rajan (kulia) akiwaelezea jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Uhariri ya Raia Mwema, Jenerali Ulimwengu (kushoto) na Mkurugenzi wa Compass Communication Limited, Maria Sarungi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa kabla ya taasisi hiyo kutangaza matoke ya utafiti wao kuhusu Tanzania Kuelekea 2015, jijini Dar es Salaam juzi. Picha na Edwin Mjwahuzi
Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu...

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti wa Twaweza watikisa nchi

Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani.

 

10 years ago

Habarileo

Slaa apinga utafiti wa Twaweza

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa SIKU moja baada ya Taasisi ya Twaweza kuanika matokeo ya utafiti wake, uliofanywa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani, wanasiasa na wasomi mbalimbali wameupokea kwa hisia tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

9 years ago

GPL

ACT WAZALENDO WAZUNGUMZIA UTAFITI WA TWAWEZA

Kutoka kushoto ni,Mjumbe wa Chama Cha ACT Wazalendo,Emmanuel Mvula, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa, Nixon Tugara na Mkurugenzi wa Kampeni za uchaguzi Taifa, Venance Msebo. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa, Nixon Tugara (katikati) akisoma taarifa yake.…

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza

Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu uliotolewa siku tatu zilizopita yameendelea kupingwa, safari hii Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiibua hoja tisa walizoita za propaganda na kasoro nyingine tisa za kiufundi.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza wataka Kiingereza kuanzia msingi

>Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza umebaini kuwa watu sita kati ya 10 wangependa Kiingereza kiwe lugha ya kufundishia katika shule za msingi na sekondari, wakati Sera ya Elimu iliyozinduliwa mwaka huu inaruhusu matumizi ya lugha hiyo sambamba na Kiswahili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani