Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT WAZALENDO WAZUNGUMZIA UTAFITI WA TWAWEZA

Kutoka kushoto ni,Mjumbe wa Chama Cha ACT Wazalendo,Emmanuel Mvula, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa, Nixon Tugara na Mkurugenzi wa Kampeni za uchaguzi Taifa, Venance Msebo. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa, Nixon Tugara (katikati) akisoma taarifa yake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa wa chama cha ACT Wazalendo, Nixon Tugara akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya matokeo ya  utafiti wa Twaweza na nafasi ya Mgombea wa Urais wa chama cha (ACT)Wazalendo licha ya kuonesha hali hiyo sisi (ACT) wazalendo tunafarijika na matokeo ameyasema hayo katika mkutano huo uli0fanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama  hicho jijini Dar es Salaam  leo kulia ni Mjumbe wa kamati ya uchaguzi, Emmanuel Mvule.Baadhi ya...

 

9 years ago

TheCitizen

ACT-Wazalendo content with Twaweza poll

The ACT Wazalendo have announced yesterday that they are content with Twaweza statistics released earlier this week as they reflect the major hurdles citizens face.

 

9 years ago

StarTV

ACT Wazalendo waunga mkono changamoto zilizoainishwa na Twaweza

 

Siku chache baada ya TWAWEZA kutoa matokeo ya utafiti wa mgombea urais anayetajwa zaidi na wananchi, Chama cha ACT Wazalendo kimepokea utafiti huo kwa mtazamo chanya, kwa madai kuwa changamoto ambazo zimeainishwa na wananchi katika utafiti huo ndizo zilizopewa kipaumbe katika ilani yao.

Miongoni mwa changamoto  ambazo ACT Wazalendo imeziainisha ni pamoja na  elimu, afya, hifadhi ya jamii na  uchumi shirikishi utakaozalisha ajira nyingi.

 Akitoa ufafanuzi wa namna chama hicho kilivyoupokea...

 

9 years ago

Mwananchi

ACT yaanika matumizi yao ya kampeni, yasifu utafiti Twaweza

Chama cha ACT-Wazalendo kimesema hadi sasa kimetumia Sh365 milioni kwa ajili ya kampeni inazofanya nchi nzima kushawishi wananchi wakichague katika nafasi za urais, wabunge na madiwani.

 

10 years ago

Habarileo

Slaa apinga utafiti wa Twaweza

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa SIKU moja baada ya Taasisi ya Twaweza kuanika matokeo ya utafiti wake, uliofanywa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani, wanasiasa na wasomi mbalimbali wameupokea kwa hisia tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti wa Twaweza watikisa nchi

Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza

Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu uliotolewa siku tatu zilizopita yameendelea kupingwa, safari hii Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiibua hoja tisa walizoita za propaganda na kasoro nyingine tisa za kiufundi.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza wataka Kiingereza kuanzia msingi

>Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza umebaini kuwa watu sita kati ya 10 wangependa Kiingereza kiwe lugha ya kufundishia katika shule za msingi na sekondari, wakati Sera ya Elimu iliyozinduliwa mwaka huu inaruhusu matumizi ya lugha hiyo sambamba na Kiswahili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani