ACT Wazalendo waunga mkono changamoto zilizoainishwa na Twaweza
Siku chache baada ya TWAWEZA kutoa matokeo ya utafiti wa mgombea urais anayetajwa zaidi na wananchi, Chama cha ACT Wazalendo kimepokea utafiti huo kwa mtazamo chanya, kwa madai kuwa changamoto ambazo zimeainishwa na wananchi katika utafiti huo ndizo zilizopewa kipaumbe katika ilani yao.
Miongoni mwa changamoto ambazo ACT Wazalendo imeziainisha ni pamoja na elimu, afya, hifadhi ya jamii na uchumi shirikishi utakaozalisha ajira nyingi.
Akitoa ufafanuzi wa namna chama hicho kilivyoupokea...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen23 Sep
ACT-Wazalendo content with Twaweza poll
9 years ago
GPLACT WAZALENDO WAZUNGUMZIA UTAFITI WA TWAWEZA
9 years ago
MichuziCHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKUBALI MATOKEO YA UTAFITI WA TWAWEZA
10 years ago
Habarileo11 May
UN waunga mkono kazi ya Kikwete
JUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba
Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.
Raia akipiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Wadhamini waunga mkono hatua ya Blatter
10 years ago
Habarileo08 Dec
VIP waunga mkono uchunguzi Escrow
KAMPUNI iliyokuwa na hisa katika Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), VIP Engineering and Marketing Limited, imesema kuwa inaunga mkono uchunguzi utakaobanisha ukweli kuhusu sakata la Sh bilioni 300 zilizokuwepo kwenye akaunti ya Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Waunga mkono kauli za viongozi wa dini