Utafiti wa Twaweza watikisa nchi
Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza kuhusu maoni na matakwa ya wananchi juu ya uongozi wa kisiasa nchini, umeibua madai mapya ambayo yanauhusisha na jitihada za kukisaidia chama tawala CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Utafiti Twaweza waibua maswali 14
Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.
10 years ago
Habarileo14 Nov
Slaa apinga utafiti wa Twaweza
SIKU moja baada ya Taasisi ya Twaweza kuanika matokeo ya utafiti wake, uliofanywa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwakani, wanasiasa na wasomi mbalimbali wameupokea kwa hisia tofauti.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza
Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu uliotolewa siku tatu zilizopita yameendelea kupingwa, safari hii Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiibua hoja tisa walizoita za propaganda na kasoro nyingine tisa za kiufundi.
9 years ago
GPLACT WAZALENDO WAZUNGUMZIA UTAFITI WA TWAWEZA
Kutoka kushoto ni,Mjumbe wa Chama Cha ACT Wazalendo,Emmanuel Mvula, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa, Nixon Tugara na Mkurugenzi wa Kampeni za uchaguzi Taifa, Venance Msebo. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni Taifa, Nixon Tugara (katikati) akisoma taarifa yake.…
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Wanawake wahoji suala la jinsia , utafiti wa Twaweza
Wakati wasomi na wanasiasa wakiendelea kuchambua matokeo ya utafiti wa Twaweza, baadhi ya wanawake wameukosoa kwamba haukuzingatia jinsia.
10 years ago
Mwananchi17 Jul
Utafiti Twaweza wataka Kiingereza kuanzia msingi
>Utafiti uliofanywa na taasisi ya Twaweza umebaini kuwa watu sita kati ya 10 wangependa Kiingereza kiwe lugha ya kufundishia katika shule za msingi na sekondari, wakati Sera ya Elimu iliyozinduliwa mwaka huu inaruhusu matumizi ya lugha hiyo sambamba na Kiswahili.
9 years ago
Mwananchi27 Sep
MSEMAKWELI : Utafiti wa Twaweza ni somo kwa CCM
Baada ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu Uchaguzi Mkuu, maswali mengi yaliibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Sera kumweka Rais madarakani - utafiti Twaweza
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Twaweza, umebaini kuwa sera ndiyo kigezo muhimu watakachokitumia wananchi kumchagua Rais katika Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
GPL25 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania