Upinzani Nigeria walaani uvamizi
Chama cha upinzani nchini Nigeria, kimelaani uvamizi uliofanywa na maafisa wa usalama dhidi ya ofisi zake mjini Lagos mwishoni mwa wiki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Aug
Wakristo Z’bar walaani uvamizi makaburi
WAKRISTO Zanzibar wamesikitishwa na hujuma na uvamizi unaofanywa katika eneo la makaburi wanayotumia katika eneo la Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi, ikiwemo uchotaji wa mchanga.
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Wanaharakati walaani utekaji wasichana Nigeria
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa kushirikiana na mashirika yanayotetea haki za wanawake na watoto, wamelaani vitendo vya utekaji nyara kwa wasichana zaidi ya 200 vilivyofanywa na maharamia (Boko...
11 years ago
Habarileo27 Jul
Wabunge Madola walaani utekaji wasichana Nigeria
WABUNGE wanawake wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CWP) wametoa tamko la kulaani matukio ya utekaji na utesaji wa wasichana nchini Nigeria linalofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram.
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Uvamizi ufaransa, 12 wauawa
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Ukraine :Msafara wa msaada ni uvamizi
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Wavuvi waandamana kupinga uvamizi
ZAIDI ya wavuvi 30 wa Kisiwa cha Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, wameandamana hadi kituo cha polisi cha wilaya, kulalamikia kutokuwepo ulinzi katika Ziwa Victoria, kiasi cha kutoa mwanya...
11 years ago
Michuzi29 May
26 wakamatwa kwa uvamizi wa mashamba
JUMLA ya watu 26 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kuharibu mazao ndani ya shamba.
Pia watu hao wanatuhumiwa kuvamia mashamba na kuingia kwa jinai kukutwa na bangi kete 38 na gramu 250 za bangi pamoja na pombe ya moshi lita 30.
Akithibitisha kwa kutokea tukio hilo alisema kuwa uvamizi huo ulifanywa kwenye vitongoji vitatu tofauti vya Mkonga, Mkombozi na Tambani wilayani Mkuranga.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi...
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Uvamizi wasababishia reli maafa
10 years ago
Mwananchi17 Feb
TAHARUKI: Maswali 10 uvamizi Tanga