Taharuki yakumba Jiji la Tanga Polisi wakipambana na majambazi mapango ya Amboni
Hali tete na taharuki imezuka katika jijini la Tanga kwa siku mbili kuanzia jana na leo baada ya kusikika milio ya mabomu na risasi zilizokuwa zikirushwa wakati vikosi vya jeshi la polisi na JWTZ vikishambuliana na kundi linalodaiwa kuwa ni la majambazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI TANGA(AMBONI CAVES)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EDSSfayazGQ/VN8-ZppMCxI/AAAAAAAHDuU/njJm503vDSM/s72-c/06%2BAmboni%2BCaves%2BTanga%2BTanzania%2B(1).jpg)
Mwandani wa: Mapango ya Amboni mkoani Tanga
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Watanzania watakiwa kutembelea mapango ya Amboni,Tanga
Watanzania wametakiwa kutembelea kutembelea (kutalii) kwenye mapango ya Amboni yaliyopo nje kidogo ya mji wa Tanga,kwani idadi imepungua kutokana na vyombo vya habari hasa magazeti kupotosha kuwa matukio ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni yalitokea maeneo hayo ya mapango.
![](http://api.ning.com/files/vshXEK8U-ig*B1jq3uOy4CCm6UsdHnVLE9YtBo35RYUmeB4rE2K03VXqMM4f6UmLkmu2b2CeKJCJneS0Azakh*XC76pkZ3pi/AMBONI1.jpg)
10 years ago
Mtanzania17 Feb
Polisi: Waliovamia Amboni, Tanga ni wahuni
Na Amina Omari na Oscar Assenga, TANGA
KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, amesema watu waliopambana na askari polisi na wale wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) ni kikundi cha wahuni.
Harakati za mapambano baina ya polisi na wahalifu hao zilidumu kwa takribani saa 48, huku Mkuu wa Mkoa huo, Said Magalula akikiri kwamba wameshindwa kuwakamata watu hao.
Jana Ndaki aliwaambia waandishi wa habari kuwa, jeshi hilo linawashikilia watu kadhaa kutokana na tukio la majambazi kushambiliana na...
11 years ago
Habarileo11 Jul
Ufaransa kutangaza mapango ya Amboni
BALOZI wa Ufaransa nchini, Marcel Escure ameahidi kuwa nchi yake itashirikiana kwa karibu na Tanzania chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kulifanya eneo la Mapango ya Amboni mkoani Tanga kuwa eneo maalumu la utalii na lenye kuvutia.
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Operesheni Mapango ya Amboni yakamilika
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-68l24cEUMGc/VN9sGy-APbI/AAAAAAACXLk/Xot5JHzQHhQ/s72-c/IMG-20150214-WA0080-1.jpg)
KUTOKA AMBONI TANGA POLISI YATOA TAMKOA HALI NI SHWARI
![](http://1.bp.blogspot.com/-68l24cEUMGc/VN9sGy-APbI/AAAAAAACXLk/Xot5JHzQHhQ/s640/IMG-20150214-WA0080-1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bSTCTZFXEDI/VN9sib9lJII/AAAAAAACXLs/OngIS39C8-U/s640/IMG-20150214-WA0049.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ie0GUNQqids/VN9s-GiwhVI/AAAAAAACXL0/cg58K4BpcCM/s640/IMG-20150214-WA0050.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Balozi Escure avutiwa mapango ya Amboni
BALOZI wa Ufaransa nchini, Marcel Escure, ameahidi nchi yake itashirikiana kwa karibu na Wizara ya Maliasili na Utalii kulifanya eneo la Mapango ya Amboni, mkoani Tanga kuwa maalumu la utalii...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 43
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Wewe ulimuona kwa macho yako huyo jini?”
“Ndiyo nilimuona”
“Yukoje?”
“Ni kama binadamu lakini anatisha.”
“Unajua ninakuuliza maswali mengi kwa sababu tukio lenu limehusisha vifo vya watu wengi. Kwa hiyo ni lazima tupate maelezo ya kina.”
SASA ENDELEA…
Kachero huyo aliendelea kuniambia.
“Tunataka tupate maelezo yanayoeleweka ili tuweze kuyaweka katika jalada la uchunguzi wa vifo vya watu wale. Na hata kama sisi wapelelezaji tunaulizwa nini kiliwaua watu wale,...