Mwandani wa: Mapango ya Amboni mkoani Tanga
![](http://2.bp.blogspot.com/-EDSSfayazGQ/VN8-ZppMCxI/AAAAAAAHDuU/njJm503vDSM/s72-c/06%2BAmboni%2BCaves%2BTanga%2BTanzania%2B(1).jpg)
Na Sultani Kipingo Mapango maarufu ya Amboni mkoani Tanga ni eneo kubwa kuliko yote lenye majabali ya chokaa katika Afrika Mshariki. Yapo takriban kilomita nane hivi Kaskazini mwa mji wa Tanga, njia ya kuelekea huko ikichepuka toka barabara mkuu ya Tanga-Mombasa. Kumbukumbu zilizopo zinaonesha mapango hayo yalizuka kiasi cha miaka milioni 150 iliyopita, katika zama za mijusi wakubwa wajulikanao kama Jurassic age. Eneo lake lina kiloita za mraba 234, na kwa mujibu wa watafiti, eneo hilo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI TANGA(AMBONI CAVES)
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Watanzania watakiwa kutembelea mapango ya Amboni,Tanga
Watanzania wametakiwa kutembelea kutembelea (kutalii) kwenye mapango ya Amboni yaliyopo nje kidogo ya mji wa Tanga,kwani idadi imepungua kutokana na vyombo vya habari hasa magazeti kupotosha kuwa matukio ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni yalitokea maeneo hayo ya mapango.
![](http://api.ning.com/files/vshXEK8U-ig*B1jq3uOy4CCm6UsdHnVLE9YtBo35RYUmeB4rE2K03VXqMM4f6UmLkmu2b2CeKJCJneS0Azakh*XC76pkZ3pi/AMBONI1.jpg)
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Taharuki yakumba Jiji la Tanga Polisi wakipambana na majambazi mapango ya Amboni
11 years ago
Habarileo11 Jul
Ufaransa kutangaza mapango ya Amboni
BALOZI wa Ufaransa nchini, Marcel Escure ameahidi kuwa nchi yake itashirikiana kwa karibu na Tanzania chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kulifanya eneo la Mapango ya Amboni mkoani Tanga kuwa eneo maalumu la utalii na lenye kuvutia.
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Operesheni Mapango ya Amboni yakamilika
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 42
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kikosi kingine cha askari kikaingizwa ndani ya pango hilo kuhakikisha kama wale watu tuliosema wameuawa, wameuawa kweli. Askari hao waliambiwa kama watakuta maiti zao watoke nazo.
Baada ya mawasilino kufanyika, gari la hospitali likawasili, Waandishi wa habari na wananchi walikuwa wametuzonga wakituhoji maswali lakini polisi waliwaondoa.
Tukapakiwa kwenye gari la hospitali na kupelekwa Hospitali ya Bombo ya jijini Tanga.
SASA ENDELEA…
Wakati tunafikishwa katika...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Balozi Escure avutiwa mapango ya Amboni
BALOZI wa Ufaransa nchini, Marcel Escure, ameahidi nchi yake itashirikiana kwa karibu na Wizara ya Maliasili na Utalii kulifanya eneo la Mapango ya Amboni, mkoani Tanga kuwa maalumu la utalii...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 43
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Wewe ulimuona kwa macho yako huyo jini?”
“Ndiyo nilimuona”
“Yukoje?”
“Ni kama binadamu lakini anatisha.”
“Unajua ninakuuliza maswali mengi kwa sababu tukio lenu limehusisha vifo vya watu wengi. Kwa hiyo ni lazima tupate maelezo ya kina.”
SASA ENDELEA…
Kachero huyo aliendelea kuniambia.
“Tunataka tupate maelezo yanayoeleweka ili tuweze kuyaweka katika jalada la uchunguzi wa vifo vya watu wale. Na hata kama sisi wapelelezaji tunaulizwa nini kiliwaua watu wale,...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 41
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
“Kaikush alikuwa amepata hasira,” Faiza aliniambia.
“Ni ile hasira ya kuniacha mimi.”
“Na pia ameona ninatoroshwa.”
Baada ya kuzipita zile maiti nne hatukutembea mwendo mrefu tukaanza kuona mwanga kwa mbali.“Naona tumeukaribia mlango wa pango!” nikamwambia Faiza kwa matumaini. SASA ENDELEA…
“Utakuwa ni ule kule mbele, kuna mwanga.” Faiza akaniambia.
“Sasa tukazane tufike.”
Ingawa tulikuwa tumechoka, tulipogundua kuwa tulikuwa tumeukaribia mlango wa pango hilo...