NG'OMBE MWENYE VICHWA VIWILI, MIDOMO MIWILI NA MACHO MATATU AZUA TAHARUKI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Bf1h9DXteW0/XlULAnyvsWI/AAAAAAALfQ0/Nch3cRticLQxCPuFTGbQxWUfIheqLhWwwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200223_130243.jpg)
Na Woinde Shizza, Arusha
TAHARUKI kubwa imeibuka kwa wananchi wa Kijiji cha Ngiresi kilichopo kwenye Kata ya Sokoni 2 katika Halmashauri ya Arusha baada kuzaliwa ng'ombe mwenye vichwa viwili ,midomo miwili na macho matatu .
Kuzaliwa kwa ng'ombe huyo katika eneo hilo kumeibua maswali mengi yasiyo na majibu kwa wananchi hao huku wengi wao wakionekana kushangaa.
Akizungumzia tukio hilo, Mmiliki wa ng'ombe huyo Eliakimu Mungasi ameiambia Michuzi Globu ya jamii kwamba wakati anapewa taarifa ya...
Michuzi