Waganga wazua taharuki Shinyanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga kimeshitushwa na taarifa za kuibuka kwa kundi la waganga wa jadi maarufu kwa jina la ‘Lambalamba’ au ‘Kamchape’ wanaopita vijijini wakiwachangisha wananchi fedha kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo14 Jul
Mkutano wa Lowassa wazua taharuki.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowassa-14July2015.jpg)
Mkutano wa Waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, uliotakiwa kufanyika jana nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, umehairishwa, huku kukiwa na taharuki juu ya kile alichotarajiwa kukizungumza kwa umma na taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikizagaa.
Sababu za kuahirishwa kwa mkutano huo zinaelezwa kuwa ni kutokana na kuchelewa kufika kwa Lowassa akitokea mjini Dodoma.
Mapema asubuhi jana Waandishi wa Habari...
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Samaki wazua hofu, taharuki Mbeya
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Mlipuko wazua taharuki Tanga, mmoja ashikiiliwa
10 years ago
Mwananchi24 May
JWTZ wavamia mitaani Songea, wazua taharuki
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Picha: Moto Wazua Taharuki Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nchi wakiwa katika wamesimama nje ya jengo hilo baada ya kutokea hitilafu ya cheche za umeme katika gholofa ya nne.
Wafanyakazi ambao walipata mshtuko wa ghafla wakiwa nje ya jengo hilo.
Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wanaofanya kazi zao katika jengo hilo la wizara ya mambo ya ndani wakitoka nje baada ya hitilafu hiyo.
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, SSP, Advera Senzo Bulimba,akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la wizara ya mambo ya ndani...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-apVUKOxd6HA/Vec3APIPqEI/AAAAAAAAHfI/H5O_5A7b8Uw/s72-c/Eyakuze.jpg)
Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%
![](http://1.bp.blogspot.com/-apVUKOxd6HA/Vec3APIPqEI/AAAAAAAAHfI/H5O_5A7b8Uw/s640/Eyakuze.jpg)
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OKVznBOGPIA/XqGdVtDW0LI/AAAAAAALoBQ/ka0Jrbmq7DQqVO7rgIHQyoPHOHUaNbOOgCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAGONJWA WA COVID-19 WAZUA TAHARUKI KATIKA HOSPITALI YA AMANA BAADA KUAMUA KUTOKA WODINI, MJEMA ATOA NENO
![](https://1.bp.blogspot.com/-OKVznBOGPIA/XqGdVtDW0LI/AAAAAAALoBQ/ka0Jrbmq7DQqVO7rgIHQyoPHOHUaNbOOgCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
TAHARUKI kubwa imeibuka leo katika Hospital ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya baadhi ya wagonjwa wa Covid-19 waliokuwa wanapatiwa matibababu kufanya vurugu na kutaka kuondoka warudi majumbani kwao.
Taarifa za wagonjwa wa Covid-19 kufanya vurugu za kutaka kuondoka Hospitali ya Amana zilianza kusambaa Kama upepo tangu asubuhi ya leo, hata hivyo inaelezwa walinzi waliokuwa hospitalini hapo kutoka Suma JKT wamefanya kazi kubwa ya kutuliza vurugu zilizoanzishwa...
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA
Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...