Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano wa Lowassa wazua taharuki.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Mkutano wa Waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, uliotakiwa kufanyika jana nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, umehairishwa, huku kukiwa na taharuki juu ya kile alichotarajiwa kukizungumza kwa umma na taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikizagaa.

Sababu za kuahirishwa kwa mkutano huo zinaelezwa kuwa ni kutokana na kuchelewa kufika kwa Lowassa akitokea mjini Dodoma.

Mapema asubuhi jana Waandishi wa Habari...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waganga wazua taharuki Shinyanga

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga kimeshitushwa na taarifa za kuibuka kwa kundi la waganga wa jadi maarufu kwa jina la ‘Lambalamba’ au ‘Kamchape’ wanaopita vijijini wakiwachangisha wananchi fedha kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Samaki wazua hofu, taharuki Mbeya

Hofu imetanda kwa wakazi wa Mbeya na mikoa ya jirani baada ya kuzagaa kwa samaki wanaodaiwa kufa kwa sumu iliyotoka migodi ya nchi jirani ya Malawi kutokana na maji yake kutiririka kuelekea Ziwa Nyasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mlipuko wazua taharuki Tanga, mmoja ashikiiliwa

Polisi Mkoani Tanga inamshikilia mmiliki wa banda la wazi la kuonyesha video, eneo la Amboni Kata ya Chumbageni jijini Tanga kwa mahojiano baada ya kutokea mlipuko wa kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutengeneza kienyeji katika eneo lake.

 

10 years ago

Mwananchi

JWTZ wavamia mitaani Songea, wazua taharuki

Wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma jana walikumbwa na taharuki baada ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuvamia mitaa, ofisi za Serikali na binafsi, benki, nyumba za ibada na katika maeneo ya biashara wakiwa na silaha.

 

9 years ago

Global Publishers

Picha: Moto Wazua Taharuki Jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani

????????????????????????????????????Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nchi wakiwa katika wamesimama nje ya jengo hilo baada ya kutokea hitilafu ya cheche za umeme katika gholofa ya nne.Moto (2)Wafanyakazi ambao walipata mshtuko wa ghafla wakiwa nje ya jengo hilo.

Moto (3)????????????????????????????????????Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wanaofanya kazi zao katika jengo hilo la wizara ya mambo ya ndani wakitoka nje baada ya hitilafu hiyo.????????????????????????????????????Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, SSP, Advera Senzo Bulimba,akizungumza na waandishi wa habari nje ya jengo la wizara ya mambo ya ndani...

 

10 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

5 years ago

Michuzi

WAGONJWA WA COVID-19 WAZUA TAHARUKI KATIKA HOSPITALI YA AMANA BAADA KUAMUA KUTOKA WODINI, MJEMA ATOA NENO


Na Said Mwishehe,Michuzi TV
TAHARUKI kubwa imeibuka leo katika Hospital ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya baadhi ya wagonjwa wa  Covid-19 waliokuwa wanapatiwa matibababu kufanya vurugu na kutaka kuondoka warudi majumbani kwao.
 Taarifa za wagonjwa wa Covid-19 kufanya vurugu za kutaka kuondoka Hospitali ya Amana zilianza kusambaa Kama upepo tangu asubuhi ya leo, hata hivyo inaelezwa  walinzi waliokuwa hospitalini hapo kutoka Suma JKT wamefanya kazi kubwa ya kutuliza vurugu zilizoanzishwa...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA, DK. SLAA WAZUA JAMBO

Mwandishi wetu Mambo ya uchaguzi! Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa wamezua jambo baada ya kusababisha mpasuko miongoni mwa wanachama wa chama hicho. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1LZYZjU

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI, LOWASSA WAZUA BALAA!

Na waandishi wetu WAKATI zikiwa zimesalia siku 35 kuelekea uchaguzi mkuu, kwa nyakati tofauti wagombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamezua balaa kufuatia watu kugombana baada ya kutofautiana kwa hoja za ushabiki, Risasi Jumamosi limesheheni matukio motomoto. Katika tukio la awali, maeneo ya Mbagala- Charambee, jijini Dar mapaparazi wetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani