Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI, LOWASSA WAZUA BALAA!

Na waandishi wetu WAKATI zikiwa zimesalia siku 35 kuelekea uchaguzi mkuu, kwa nyakati tofauti wagombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamezua balaa kufuatia watu kugombana baada ya kutofautiana kwa hoja za ushabiki, Risasi Jumamosi limesheheni matukio motomoto. Katika tukio la awali, maeneo ya Mbagala- Charambee, jijini Dar mapaparazi wetu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Mashabiki Yanga wazua balaa Boko

Ibrahimu Mussa BAADHI ya mashabiki wa Yanga wamelalamikia kitendo cha uongozi wa klabu hiyo kutumia kiasi kikubwa kulipia uwanja ambao wanafanyia mazoezi klabu hiyo ya Boko Veterani kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, kwa madai kuwa wana uwezo wa kujenga wa kwao. Mashabiki hao walikuwa wakifuatilia mazoezi hayo na kushuhudia namna uwanja huo ulivyo na ‘pichi’ nzuri, hali...

 

10 years ago

GPL

Okwi, Manyika wazua balaa Morogoro

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi. Na Duadi Julian, Morogoro
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi na Mrundi, kipa Peter Manyika wameonekana kivutio kikubwa mkoani hapa tangu walipofika. Timu hiyo ipo Morogoro kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani hapa.Wachezaji hao wameonekana kuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa timu hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mume na mke wazua balaa Bunge la Katiba

>Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia chama hicho kwa madai kuwa walioteuliwa katika chama hicho ni mtu na mkewe na kufanya uteuzi huo kukosa sura ya Muungano.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA, DK. SLAA WAZUA JAMBO

Mwandishi wetu Mambo ya uchaguzi! Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa wamezua jambo baada ya kusababisha mpasuko miongoni mwa wanachama wa chama hicho. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1LZYZjU

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano wa Lowassa wazua taharuki.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Mkutano wa Waandishi wa habari na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, uliotakiwa kufanyika jana nyumbani kwake Masaki, jijini Dar es Salaam, umehairishwa, huku kukiwa na taharuki juu ya kile alichotarajiwa kukizungumza kwa umma na taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikizagaa.

Sababu za kuahirishwa kwa mkutano huo zinaelezwa kuwa ni kutokana na kuchelewa kufika kwa Lowassa akitokea mjini Dodoma.

Mapema asubuhi jana Waandishi wa Habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa alivyozua balaa

Sehemu aliyotoka mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ameacha mtikisiko, alipotua kumetokea mtikisiko na walio karibu na mtikisiko, wamepata mtikisiko.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Magufuli wazua hisia tofauti TZ

Kuchaguliwa kwa waziri wa ujenzi nchini Tanzania Daktari John Magufuli kubeba bendera ya chama tawala cha CCM katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu kumepokelewa na hisia tofauti na wananchi nchini humo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri watatu wa Magufuli wazua utata

Hatua ya Rais John Magufuli kuteua na kuwaapisha mawaziri watatu kabla ya kuapishwa kuwa wabunge, imeibua utata huku wanasheria wakihoji jinsi gani watafanya kazi za Kamati za Bunge kabla ya Februari wakati chombo hicho cha kutunga sheria kitakapoanza shughuli zake.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kalapina – Magufuli Balaa

kalaapina

Aliyekua Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Act Wazalendo na Mwana muziki wa Hip Hop Kalapina ameamua kuingia studio na kuandika wimbo unaomhusu Rais Magufuli, Unaitwa “Magufuli balaa” Umetengenezwa na Dunga wa 41 Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani