Okwi, Manyika wazua balaa Morogoro
![](http://api.ning.com:80/files/RqdQyZgpKtJ-0sL94TBrFVl2Z6Ed2C*MUWhDXUj0ut627gSDpev9v4PkAjBzT7YS4Ffrseg53*VkGM8reK0KihJ5yKC1DzWG/okwi.jpg)
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi. Na Duadi Julian, Morogoro KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi na Mrundi, kipa Peter Manyika wameonekana kivutio kikubwa mkoani hapa tangu walipofika. Timu hiyo ipo Morogoro kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani hapa.Wachezaji hao wameonekana kuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa timu hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-M5JLAFxn1EwsLE*2kclFbQXRgocEJjCQGkxu-GLx6BuMFy26pCDQ1Xp04qKuDlSyVUZcw-kzcb68kfjhyfIs2hBiC2G4tjj/magufuli.jpg?width=650)
MAGUFULI, LOWASSA WAZUA BALAA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gWhc*8EYmk8efrUtBTJlV2rERSoDIhERRdJhLobAnMVp*ich3z*dkAk7o18sKaLdVwSET0cKgbkWQne8FpHWRh-gGx0Liz-m/MashabikiYanga.jpg?width=600)
Mashabiki Yanga wazua balaa Boko
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Mume na mke wazua balaa Bunge la Katiba
10 years ago
TheCitizen20 Oct
Manyika: Father is my mentor
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Peter Manyika atoa ‘single’ ya tatu
NA MWANDISHI WETU
KOCHA wa makipa wa Timu ya Taifa, Peter Manyika, ameachia wimbo wa tatu aliouita ‘Karudi Baba Mmoja’ akinukuu vitabu vya zamani vilivyokuwa vikifundishiwa shuleni.
Wimbo huo wenye mahadhi ya Zouk ameimba kwa ustadi mkubwa akieleza kisa kizima cha baba huyo aliyerudi toka safari ya mbali aliyewataka watoto wake wakitaka urithi wataupata shambani.
“Niliamua kuimba kwa mafunzo, lengo likiwa ni kuwataka vijana wafanye kazi wasifikirie mali za kure bure badala ya kufanya kazi,...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wL6yTPgLsvk/U-q-auTxqOI/AAAAAAAAHSU/pdHARDNmwmU/s72-c/Jhikoman.jpg)
Mahojiano ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan
![](http://4.bp.blogspot.com/-wL6yTPgLsvk/U-q-auTxqOI/AAAAAAAAHSU/pdHARDNmwmU/s1600/Jhikoman.jpg)
Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.
Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumlaAmeongea mengi memaKARIBU UJIUNGE NASI
9 years ago
Bongo511 Nov
Manyika Jr na Naima wapanga kufunga ndoa, aeleza misukosuko waliyopitia
![12081027_1651638835115791_2014890630_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12081027_1651638835115791_2014890630_n-300x194.jpg)
Mlinda mlango wa Simba, Peter Manyika Jr na mchumba wake Naima wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.
Wawili hao wamepitia misukosuko mingi kwenye uhusiano wao ikiwa ni pamoja na kuwa kwenye hatari kuvunjika kwa uhusiano wao kutokana na shinikizo la wazazi na uongozi wa Simba.
Klabu ya Simba iliwahi kumuonya mchezaji huyo baada ya kuwashambulia mashabiki wa soka kwenye mtandao waliodai kuwa Naima ni chanzo cha kushuka kwa kiwango chake uwanjani.
Akiongea kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XxSZlVGZjAY/U-4zNtS7QuI/AAAAAAAF_6U/-U8Gja-LiyE/s72-c/download%2B(1).jpg)
MWAMEJA, MANYIKA, PAWASA, LUNYAMILA NA MMACHINGA WAITWA KUIVAA REAL MADRID, MAKOCHA WAO MKWASA, MINZIRO NA JULIO
![](http://3.bp.blogspot.com/-XxSZlVGZjAY/U-4zNtS7QuI/AAAAAAAF_6U/-U8Gja-LiyE/s1600/download%2B(1).jpg)
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
MAKIPA maarufu waliowahi kuwika nchini, Mohamed Mwameja na Peter Manyika Peter wamejumuishwa katika kikosi cha Tanzania All Stars kitakachomenyana na magwiji wa Real Madrid ya Hispania, Agosti 23, mwaka huu jijini Dar es salaam.
Chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Wasaidizi Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, Daktari Mwanandi Mkwankemwa na viongozi Mtemi Ramadhani, Hassan Mnyenye, Omar Gumbo na Hamisi Kisiwa kikosi hicho kitaingia...
11 years ago
Dewji Blog26 Jul
Mkuu wa Mkoa Morogoro aongoza mamia kumzika Mke wa Mbunge a Jimbo la Morogoro Kusini
Mkuu wa mkoa akimpeleka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh Innocent Kalogeris kupokea mwili wa mpendwa mke wake,kulia ni dada wa mbunge huyo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dr Joel Bendera Leo amewaongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Morogoro kumzika Mke wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Mh lnocenti Kalogeris watu mbali mbali wakiwemo wabunge,wakuu wa mikoa wa staafu na watu mashuhuri wamefurika nyumbani kwa mbunge huyo ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa...