Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAMEJA, MANYIKA, PAWASA, LUNYAMILA NA MMACHINGA WAITWA KUIVAA REAL MADRID, MAKOCHA WAO MKWASA, MINZIRO NA JULIO



Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
MAKIPA maarufu waliowahi kuwika nchini, Mohamed Mwameja  na Peter Manyika Peter wamejumuishwa katika kikosi cha Tanzania All Stars kitakachomenyana na magwiji wa Real Madrid ya Hispania, Agosti 23, mwaka huu jijini Dar es salaam. 
Chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Wasaidizi Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, Daktari Mwanandi Mkwankemwa na viongozi Mtemi Ramadhani, Hassan Mnyenye, Omar Gumbo na Hamisi Kisiwa kikosi hicho kitaingia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JULIO ATAMBA KUMKALISHA MINZIRO

Kocha mkuu wa Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Na Martha Mboma
TIMU ya soka ya Mwadui inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inatarajiwa kushuka dimbani kesho Alhamisi, kuvaana na JKT Ruvu.Mwadui ambao ndiyo vinara wa kundi B kwenye Ligi Daraja la Kwanza wanatumia mchezo huu kama njia ya kuwafanyia majaribio baadhi ya wachezaji wapya wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi, kocha mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo...

 

9 years ago

Vijimambo

MKWASA AITA 28 STARS KUIVAA ALGERIA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Charles Boniface Mkwasa jana ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakoingia kambini Jumapili jioni kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaam, na marudiano kufanyika Novemba 17 nchini Algeria.Akiongea na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Mkwasa amesema kikosi chake hicho kitaweka kambi nchini Omani kwa takribani siku 10 kujiandaa na...

 

5 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robo fainali baada ya sare hiyo ya 1-1 huku wakiwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hii lilikuwa na maana kwamba walihitaji mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa bao moja...

 

10 years ago

Africanjam.Com

THIS IS WHAT ATLETICO MADRID SAYS ABOUT DAVID DE GEA JOINING REAL MADRID


De Gea joined United from Atletico, where he started his career, for £18.9million in 2011. A year earlier he was a crucial figure as Atleti won the Europa League.Tomas Ujfalusi was part of De Gea's defence that season and popular with the club's fans after spending three years in the Spanish capital; De Gea was equally liked, but Ujfalusi believes he will throw that away if he signs for Real because Atletico's fans would feel betrayed.
De Gea (left) was a team-mate of Tomas Ujfalusi (back...

 

9 years ago

MillardAyo

Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi ….

Najua bado headlines za Jose Mourinho kuwa ataenda wapi au kuifundisha klabu gani bado zinazidi kushika kasi, je ataenda kuifundisha klabu ya Manchester United au Real Madrid kama inavyoripotiwa au klabu gani. Ukiachana na stori za kujiunga na Man United, mwezi October Rais wa zamani wa Real Madrid Ramon Calderon alimkaribisha kwa mara ya pili Mourinho kujiunga […]

The post Headlines za Jose Mourinho kurudi Real Madrid zilipomfikia Rais wa Madrid Fiorentino Perez alijibu hivi …. appeared...

 

10 years ago

GPL

REAL MADRID YAFUNGWA NA ATLETICO MADRID BAO 2-0

Wachezaji wa timu ya Atletico Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul Garcia kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme 'Copa del Rey' Uwanja wa Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo. Beki wa Atletico Madrid (katikati) akipiga kichwa mpira.…

 

10 years ago

Vijimambo

NANI KWENDA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO, NI BINGWA MTETEZI REAL MADRID AU ATLETICO MADRID

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ( mwenye kofia ) akifuatilia mazoezi ya wachezaji wake kabla ya kurudiana na Atletico Madrid leo usiku.Wachezaji wa Real Madrid ( kutoka kushoto kwenda kulia ) Daniel Carvajal, Marcelo Vieira na Sami Khedira wakijifua tayari kuwakabili wapinzani wao Atletico Madrid leo usiku.
Baada ya mchezo watakumbatiana hivi!!! Kocha wa Real Madrd Carlo Ancelotti( kushoto ) akiwa na kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone. 
Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani