JULIO ATAMBA KUMKALISHA MINZIRO
![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXxvHWWFlsLF6MWL6eE07gy8agK9N0KdqkarCrJyyDdITNWXTBOzwzgcLQ9psvxHvBI4YdpghBvNGBIZ7YrRyXu/JULIO.jpg?width=650)
Kocha mkuu wa Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Na Martha Mboma TIMU ya soka ya Mwadui inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inatarajiwa kushuka dimbani kesho Alhamisi, kuvaana na JKT Ruvu.Mwadui ambao ndiyo vinara wa kundi B kwenye Ligi Daraja la Kwanza wanatumia mchezo huu kama njia ya kuwafanyia majaribio baadhi ya wachezaji wapya wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi, kocha mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Aug
Julio atamba kufanya maajabu
KOCHA Mkuu wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu yake itashangaza wengi kwenye Ligi Kuu.
9 years ago
Habarileo15 Sep
Julio atamba Mwadui itazinduka
KOCHA Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezionya timu za Ligi Kuu akizitaka zisiidharau timu yake kwa vile imefungwa mechi ya ufunguzi. Mwadui FC ilifungwa bao 1-0 na Toto African kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza katika ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita.
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Julio atamba kumfukuzisha kazi Kerr
Kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Said Ally,
Dar es Salaam
WAKATI taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zikidai kumpa mechi nne tu kocha wao, Muingereza, Dylan Kerr kuhakikisha anapata matokeo ya ushindi, kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ametamba kuwa ataanza kumfungisha virago Mzungu huyo kwa kukifunga kikosi chake.
Muingereza, Dylan Kerr.
Simba na Mwadui zinatarajia kukutana kesho Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kwenye...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Julio atamba Mwadui kuwamo nne bora
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba timu timu yake itamaliza ligi kwenye nafasi nne za juu msimu huu wa 2015-2016 unaoanza kesho.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XxSZlVGZjAY/U-4zNtS7QuI/AAAAAAAF_6U/-U8Gja-LiyE/s72-c/download%2B(1).jpg)
MWAMEJA, MANYIKA, PAWASA, LUNYAMILA NA MMACHINGA WAITWA KUIVAA REAL MADRID, MAKOCHA WAO MKWASA, MINZIRO NA JULIO
![](http://3.bp.blogspot.com/-XxSZlVGZjAY/U-4zNtS7QuI/AAAAAAAF_6U/-U8Gja-LiyE/s1600/download%2B(1).jpg)
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM
MAKIPA maarufu waliowahi kuwika nchini, Mohamed Mwameja na Peter Manyika Peter wamejumuishwa katika kikosi cha Tanzania All Stars kitakachomenyana na magwiji wa Real Madrid ya Hispania, Agosti 23, mwaka huu jijini Dar es salaam.
Chini ya makocha Charles Boniface Mkwasa ‘Master’ na Wasaidizi Freddy Felix Minziro na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, Daktari Mwanandi Mkwankemwa na viongozi Mtemi Ramadhani, Hassan Mnyenye, Omar Gumbo na Hamisi Kisiwa kikosi hicho kitaingia...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Minziro asaka sita
10 years ago
Vijimambo22 May
Minziro awadaka wote waliotemwa Yanga
![](http://api.ning.com/files/NHPaItPS5EgdQwVwZzBORM6qr3uv2riR7ULYkPF72RPO-uFVYFERi4hBivNugHGywJlJ9M60zP8qHVYqGA9Oy5LsFyTX6gTy/MINZIRO.jpg?width=650)
Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro.
Sweetbert Lukonge, Dar es SalaamSIKU chache baada ya Yanga kudaiwa kuwa ina mpango wa kuwatema nyota wake 11 wa kikosi hicho, Kocha Mkuu wa JKT Ruvu, Felix Minziro, ameibuka na kuomba apatiwe wachezaji hao.
Baadhi ya wachezaji ambao Yanga inadaiwa kutaka kuwafungashia virago klabuni hapo ni Jerry Tegete, Hussein Javu, Danny Mrwanda, Nizar Khalfan, Rajabu Zahir, Edward Charles na Hassan Dilunga sababu ikiwa ni kushindwa kuonyesha uwezo wa juu.
Minziro,...
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Ushindi wa Simba SC wampa kiburi Minziro
KOCHA Mkuu wa timu ya JKT Ruvu, Feed Felix ‘Mniziro’, amezinanga timu za Simba na Yanga zinazoendekeza makocha wa Kizungu na kuachana na wazawa licha ya kuwa na uwezo na...