Julio atamba kumfukuzisha kazi Kerr
Kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Said Ally,
Dar es Salaam
WAKATI taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zikidai kumpa mechi nne tu kocha wao, Muingereza, Dylan Kerr kuhakikisha anapata matokeo ya ushindi, kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ametamba kuwa ataanza kumfungisha virago Mzungu huyo kwa kukifunga kikosi chake.
Muingereza, Dylan Kerr.
Simba na Mwadui zinatarajia kukutana kesho Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kwenye...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Aug
Julio atamba kufanya maajabu
KOCHA Mkuu wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu yake itashangaza wengi kwenye Ligi Kuu.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXxvHWWFlsLF6MWL6eE07gy8agK9N0KdqkarCrJyyDdITNWXTBOzwzgcLQ9psvxHvBI4YdpghBvNGBIZ7YrRyXu/JULIO.jpg?width=650)
JULIO ATAMBA KUMKALISHA MINZIRO
9 years ago
Habarileo15 Sep
Julio atamba Mwadui itazinduka
KOCHA Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezionya timu za Ligi Kuu akizitaka zisiidharau timu yake kwa vile imefungwa mechi ya ufunguzi. Mwadui FC ilifungwa bao 1-0 na Toto African kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza katika ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita.
9 years ago
Habarileo22 Sep
Kerr atamba Yanga hawatachomoka
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema amefurahishwa na matokeo mazuri katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar na kutuma salamu Yanga kuwa anaifahamu hivyo hawatachomoka katika mchezo ujao.
9 years ago
Habarileo11 Sep
Julio atamba Mwadui kuwamo nne bora
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba timu timu yake itamaliza ligi kwenye nafasi nne za juu msimu huu wa 2015-2016 unaoanza kesho.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Julio ashika kibarua cha Kerr
10 years ago
Mwananchi03 Apr
Julio: Bado nina kazi ngumu Coastal
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Kerr awapa kazi Majabvi, Angban
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, ameridhishwa na viwango vya kiungo, Justice Majabvi raia wa Zimbabwe na kipa Muivory Coast, Vincent Angban, wanaosaka nafasi ya kusajiliwa na timu hiyo.
Mwingereza huyo amesema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda kwenye sherehe za Simba Day na kushinda bao 1-0 juzi, lakini amewapa mtihani nyota hao akiwataka waonyeshe makubwa zaidi.
“Nimefurahishwa na baadhi ya...
9 years ago
Habarileo19 Oct
Magufuli atamba
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amejigamba kuwa endapo atachaguliwa, atakuwa rais wa mfano barani Afrika. Aidha amesema akiwa waziri wa kawaida anaamini amefanya kazi kubwa na inayoonekana kulinganishwa na iliyofanywa na mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.