Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli atamba

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amejigamba kuwa endapo atachaguliwa, atakuwa rais wa mfano barani Afrika. Aidha amesema akiwa waziri wa kawaida anaamini amefanya kazi kubwa na inayoonekana kulinganishwa na iliyofanywa na mawaziri wakuu wa zamani, Edward Lowassa na Frederick Sumaye.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli Atamba

g3BAKARI KIMWANGA NA PETER FABIAN, MAGU

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka Watanzania wamchague awe rais kwani atateua waziri mkuu mchapakazi atakayesimamia shughuli za Serikali wakati wote.

Amesema kwamba, anahitaji kuwa na baraza dogo la mawaziri litakalokuwa tayari kwenda kwa wananchi kutatua kero zao.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya kampeni za lala salama zilizofanyika katika Majimbo ya Magu, Sumve,...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli atamba kushinda kwa ‘tsunami’

SIKU moja baada ya matokeo ya utafiti wa taasisi huru ya Twaweza kuonesha kuwa anapaa katika urais, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ametamba kupata ushindi wa ‘tsunami’.

 

11 years ago

GPL

Morocco atamba kuipaisha Oljoro

Kikosi cha JKT Oljoro. Na Amisa Mmbaga
KOCHA wa JKT Oljoro, Hemed Morocco, amesema atahakikisha anakipika vilivyo kikosi chake na kuwa tishio kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Morocco amejiunga na Oljoro kwa mkataba wa mwaka mmoja mara baada ya ajira yake katika timu ya Coastal Union kufikia tamati hivi karibuni. Morocco ambaye ameanza majukumu mapya katika timu hiyo inayoshika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi,...

 

10 years ago

Habarileo

Julio atamba kufanya maajabu

KOCHA Mkuu wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu yake itashangaza wengi kwenye Ligi Kuu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pacquiao atamba kumchakaza Mayweather

Manny Pacquiao ametamba kumchakaza mpinzani wake kwenye mpambano utakaofanyika tarehe mbili mwezi ujao

 

9 years ago

Mtanzania

Mina atamba kumfunika Rubby

mpinzani rubyNA SHARIFA MMASI

MSANII chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, Amina Hussein ‘Mina’, ametamba kumpoteza Rubby kwenye ramani ya muziki kutokana na uwezo mkubwa alionao.

Mina hivi sasa anafanya vizuri mkoani Kilimanjaro na wimbo wake unaoitwa ‘Najiamini’.

“Kwa sasa muziki wangu unasikika na kupendwa zaidi mikoani, kikubwa ambacho nitakifanya ili nitimize azma yangu ni kujikita katika utunzi kitu ambacho Rubby hawezi pamoja na kutengeneza ‘network’ kubwa ndani na nje ya Tanzania,” alisema Mina...

 

9 years ago

Habarileo

Tegete atamba ameanza ligi

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete ameanza tambo baada ya kufunga mabao matatu katika mechi tatu alizocheza akiwa na timu yake ya Mwadui FC ya Shinyanga.

 

10 years ago

Habarileo

JK atamba mafanikio mapambano ya rushwa

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga wadau wa maendeleo, ameendelea kuelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne, aliyoiongoza kwa miaka kumi sasa katika sekta mbali mbali, ambapo mara hii amezungumzia mapambano dhidi ya rushwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Nooij atamba kuifunga Misri

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Mart Nooij, amewatoa hofu Watanzania kwa kuwahakikishia kuwa kikosi chake kitaibuka na ushindi dhidi ya timu ya Misri, katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2017, mchezo utakaopigwa Juni 14, katika uwanja wa Borg El Arab, jijini Alexandria.

Jumla ya msafara wa watu 34 uliondoka jana kuelekea Addis Ababa, nchini Ethiopia, kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo huo, wakiwemo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani