Morocco atamba kuipaisha Oljoro
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoDiqdZbsB03YxHibHDF5PXQ3vCox-ROD2Bio*AlcXEgWu9WKmLYj8xmLz*QMEpTyuJQoA6ksBnC3L10nN9Ytxw/JKTOLJORO.jpg?width=650)
Kikosi cha JKT Oljoro. Na Amisa Mmbaga KOCHA wa JKT Oljoro, Hemed Morocco, amesema atahakikisha anakipika vilivyo kikosi chake na kuwa tishio kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Morocco amejiunga na Oljoro kwa mkataba wa mwaka mmoja mara baada ya ajira yake katika timu ya Coastal Union kufikia tamati hivi karibuni. Morocco ambaye ameanza majukumu mapya katika timu hiyo inayoshika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Oct
Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.
9 years ago
Habarileo16 Sep
JK: Ndoto kuipaisha Kigoma zinatimia
RAIS Jakaya Kikwete amesema ndoto yake ya kuuona mkoa wa Kigoma ukileta mabadiliko makubwa ya kiuchumi nchini imeanza kutimia, kutokana na kuanza kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kiuchumi.
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Remmy Williams kuipaisha Bongo fleva
MSANII wa muziki wa Bongo fleva, Remmy Williams anayefanya shughuli za muziki nchini Italia, amewasili jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii wenzake hapa nchini....
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Mradi wa Useme kuipaisha Mtwara kielimu
ELIMU ni mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua ili kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia. Makubaliano na itifaki za kikanda...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Dk. Shein aahidi kuipaisha zaidi Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, amesema amedhamiria kuipaisha Zanzibar kwa kuwa uwezo huo anao.
Amesema kwamba, pamoja na majukumu mengi aliyonayo, kazi hiyo ataifanya katika miaka mitano ijayo kama atafanikiwa kuendelea kukiongoza kisiwa hicho.
Kutokana na hali hiyo, amewatahadharisha Wazanzibari wasiwachague wagombea waongo ambao mara zote wamekuwa wakisema uongo majukwani kwa lengo la kupata madaraka.
Dk....
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Uadilifu katika kodi kuipaisha nchi kiuchumi
![](https://3.bp.blogspot.com/-ezmolIi7uAM/UrG-hZok_gI/AAAAAAAAAsw/LEieYN0AlvM/s400/mwigula.jpg)
NA WILLIAM SHECHAMBOENDAPO kila Mtanzania atalipa kodi kwa uadilifu na serikali ikitumia mapato hayo kama inavyostahili, Tanzania inaweza kuingia kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja, imeelezwa. Sababu nyingine, ambayo imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania, ni uzalendo wa kununua bidhaa za nyumbani na kudai risiti. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu Nchemba, wakati wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-D4wuv3aa3jg/XmPoCuaUs2I/AAAAAAALh04/9BasTJjC0JEz5XaL3b9-94eJxMvCC0bNwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MKWIRU NA USHIRIKA WAKE ONE TEAM KUIPAISHA TIMU YA MWAMBISI SEK KUPATA UZOEFU GERMAN
WADAU wa michezo kutoka German One Team kwa ushirika na Ibrahim Mkwiru ,wameeleza ndoto yao ya kuchukua timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kike, katika shule ya sekondari ya Mwambisi kwenda nchini Ujeruman kuchota uzoefu na timu nyingine za shule za sekondari nchini humo ili kuwa na uzoefu.
Aidha ushirika huo,umeeleza mpira wa miguu sio kwa ajili ya watoto wa kiume pekee hivyo watoto wa kike wanapaswa kujiandaa kuucheza kuanzia mashuleni ili kuweza kuchukuliwa na...
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Kimbunga Tambwe chaikumba Oljoro
9 years ago
StarTV09 Nov
JKT Oljoro yatinga kileleni.
Maafande wa JKT Oljoro wametinga kileleni mwa kundi C baada ya kuwachezesha kwata maafande wenzao wa Polisi Tabora kwa bao 1-0, katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Haikuwa rahisi kwa wafunga buti hao wa Oljoro kupata bao hilo mapema kwani iliwabidi wasubiri hadi kipindi cha kwanza kimalizike.
Kipindi cha pili kilianza kwa kila timu kuanza kwa kasi baada ya makocha wa timu zote mbili kufanya mabadiliko ya wachezaji , mabadiliko hayo yalizaa matunda kwa...