Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Feb
Julio awaita Tegete, Nizar wasaini Mwadui
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Tegete aibukia Mwadui FC, huenda akaivaa Simba kesho
10 years ago
Habarileo16 Sep
JK: Ndoto kuipaisha Kigoma zinatimia
RAIS Jakaya Kikwete amesema ndoto yake ya kuuona mkoa wa Kigoma ukileta mabadiliko makubwa ya kiuchumi nchini imeanza kutimia, kutokana na kuanza kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya kiuchumi.
11 years ago
GPL
Morocco atamba kuipaisha Oljoro
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Dk. Shein aahidi kuipaisha zaidi Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, amesema amedhamiria kuipaisha Zanzibar kwa kuwa uwezo huo anao.
Amesema kwamba, pamoja na majukumu mengi aliyonayo, kazi hiyo ataifanya katika miaka mitano ijayo kama atafanikiwa kuendelea kukiongoza kisiwa hicho.
Kutokana na hali hiyo, amewatahadharisha Wazanzibari wasiwachague wagombea waongo ambao mara zote wamekuwa wakisema uongo majukwani kwa lengo la kupata madaraka.
Dk....
11 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Mradi wa Useme kuipaisha Mtwara kielimu
ELIMU ni mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua ili kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi na kiteknolojia. Makubaliano na itifaki za kikanda...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Remmy Williams kuipaisha Bongo fleva
MSANII wa muziki wa Bongo fleva, Remmy Williams anayefanya shughuli za muziki nchini Italia, amewasili jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii wenzake hapa nchini....
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Uadilifu katika kodi kuipaisha nchi kiuchumi

NA WILLIAM SHECHAMBOENDAPO kila Mtanzania atalipa kodi kwa uadilifu na serikali ikitumia mapato hayo kama inavyostahili, Tanzania inaweza kuingia kwenye kundi la nchi zenye uchumi wa kati kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja, imeelezwa. Sababu nyingine, ambayo imetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania, ni uzalendo wa kununua bidhaa za nyumbani na kudai risiti. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu Nchemba, wakati wa...
5 years ago
Michuzi
MKWIRU NA USHIRIKA WAKE ONE TEAM KUIPAISHA TIMU YA MWAMBISI SEK KUPATA UZOEFU GERMAN
WADAU wa michezo kutoka German One Team kwa ushirika na Ibrahim Mkwiru ,wameeleza ndoto yao ya kuchukua timu ya mpira wa miguu ya wanafunzi wa kike, katika shule ya sekondari ya Mwambisi kwenda nchini Ujeruman kuchota uzoefu na timu nyingine za shule za sekondari nchini humo ili kuwa na uzoefu.
Aidha ushirika huo,umeeleza mpira wa miguu sio kwa ajili ya watoto wa kiume pekee hivyo watoto wa kike wanapaswa kujiandaa kuucheza kuanzia mashuleni ili kuweza kuchukuliwa na...