Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio awaita Tegete, Nizar wasaini Mwadui

>Baada ya kuipandisha Mwadui kushiriki Ligi Kuu msimu ujao, kocha mkuu wa  Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi mpango wa kuwachomoa nyota kadhaa wa Yanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.

 

9 years ago

Mwananchi

Julio: Tegete ifunge Yanga

Kocha wa Mwadui, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’  amesema mshambuliaji wake Jerryson Tegete amekuwa ‘mtaam kama Mcharo’ lakini  amemtaka kuthibitisha ubora wake kwa kuifunga timu yake ya zamani, Yanga watakayokutana nayo Jumatano ijayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Tegete aibukia Mwadui FC, huenda akaivaa Simba kesho

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jerry Tegete ataitumikia rasmi timu ya Mwadui ya Shinyanga kwa mkataba wa miaka miwili kwenye msimu huu wa Ligi Kuu baada ya kukamilisha taratibu zote za uhamisho akiwa mchezaji huru.

 

9 years ago

Habarileo

Julio atamba Mwadui itazinduka

KOCHA Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezionya timu za Ligi Kuu akizitaka zisiidharau timu yake kwa vile imefungwa mechi ya ufunguzi. Mwadui FC ilifungwa bao 1-0 na Toto African kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza katika ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Julio, Tegete mikononi mwa maafande leo

Makocha maarufu wa soka nchini Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ na John Tegete leo watakua na vibarua vizito watakapokwaana na timu Kanembwa JKT na Polisi Dodoma FC, katika mechi za raundi ya sita ya Kundi B la michuano hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Julio atamba Mwadui kuwamo nne bora

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba timu timu yake itamaliza ligi kwenye nafasi nne za juu msimu huu wa 2015-2016 unaoanza kesho.

 

9 years ago

StarTV

Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio

BEKI JORAM MGEVEKE WA MWADUI FC AKIPAMBANA NA NAHODHA WA SIMBA, MUSSA HASSAN MGOSI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA TAIFA ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. ANGALIA PICHA ZAIDI ZA ACTION…

 

 

11 years ago

Mwananchi

Bengo awaita Yanga

Kiungo wa KCC ya Uganda, Steven Bengo amesema yuko tayari kuichezea Yanga kama viongozi wake watamfuata.

 

11 years ago

Mwananchi

Manji awaita wanaompinga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amelitaka kundi la wanachama wanaopinga uamuzi wa mkutano mkuu wa kumwongezewa muda wa kuiongoza klabu hiyo, kujiorodhesha na yeye atakuwa wa kwanza  kufanya hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani