Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio atamba Mwadui kuwamo nne bora

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba timu timu yake itamaliza ligi kwenye nafasi nne za juu msimu huu wa 2015-2016 unaoanza kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Julio atamba Mwadui itazinduka

KOCHA Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezionya timu za Ligi Kuu akizitaka zisiidharau timu yake kwa vile imefungwa mechi ya ufunguzi. Mwadui FC ilifungwa bao 1-0 na Toto African kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza katika ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

10 years ago

GPL

JULIO ATAMBA KUMKALISHA MINZIRO

Kocha mkuu wa Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Na Martha Mboma
TIMU ya soka ya Mwadui inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inatarajiwa kushuka dimbani kesho Alhamisi, kuvaana na JKT Ruvu.Mwadui ambao ndiyo vinara wa kundi B kwenye Ligi Daraja la Kwanza wanatumia mchezo huu kama njia ya kuwafanyia majaribio baadhi ya wachezaji wapya wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi, kocha mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo...

 

10 years ago

Habarileo

Julio atamba kufanya maajabu

KOCHA Mkuu wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu yake itashangaza wengi kwenye Ligi Kuu.

 

10 years ago

Mwananchi

Julio awaita Tegete, Nizar wasaini Mwadui

>Baada ya kuipandisha Mwadui kushiriki Ligi Kuu msimu ujao, kocha mkuu wa  Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi mpango wa kuwachomoa nyota kadhaa wa Yanga.

 

9 years ago

Global Publishers

Julio atamba kumfukuzisha kazi Kerr

JulioKihwelu.jpg Kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.

Said Ally,

Dar es Salaam

WAKATI taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zikidai kumpa mechi nne tu kocha wao, Muingereza, Dylan Kerr kuhakikisha anapata matokeo ya ushindi, kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ametamba kuwa ataanza kumfungisha virago Mzungu huyo kwa kukifunga kikosi chake.

kochaDylanKerr.jpg Muingereza, Dylan Kerr.

Simba na Mwadui zinatarajia kukutana kesho Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kwenye...

 

9 years ago

StarTV

Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio

BEKI JORAM MGEVEKE WA MWADUI FC AKIPAMBANA NA NAHODHA WA SIMBA, MUSSA HASSAN MGOSI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA TAIFA ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. ANGALIA PICHA ZAIDI ZA ACTION…

 

 

11 years ago

Mwananchi

Liverpool yakomaa nne bora

Liverpool imezidi kujikita katika nafasi ya nne baada ya Daniel Sturridge na Jordan Henderson kila moja kufunga mabao mawili wakishinda 4-3 dhidi ya Swansea City.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho: Itakuwa vigumu kumaliza nne bora

Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada yao kulazwa 1-0 na Bournemouth.

 

9 years ago

BBCSwahili

Hiddink: Inawezekana Chelsea kumaliza nne bora

Hiddink amesema bado inawezekana klabu hiyo kumaliza katika nne bora Ligi ya Premia baada yao kulaza Crystal Palace 3-0 Jumapili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani