Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Julio atamba kufanya maajabu

KOCHA Mkuu wa Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema timu yake itashangaza wengi kwenye Ligi Kuu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JULIO ATAMBA KUMKALISHA MINZIRO

Kocha mkuu wa Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’. Na Martha Mboma
TIMU ya soka ya Mwadui inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza inatarajiwa kushuka dimbani kesho Alhamisi, kuvaana na JKT Ruvu.Mwadui ambao ndiyo vinara wa kundi B kwenye Ligi Daraja la Kwanza wanatumia mchezo huu kama njia ya kuwafanyia majaribio baadhi ya wachezaji wapya wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi, kocha mkuu wa timu hiyo Jamhuri Kihwelo...

 

9 years ago

Habarileo

Julio atamba Mwadui itazinduka

KOCHA Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amezionya timu za Ligi Kuu akizitaka zisiidharau timu yake kwa vile imefungwa mechi ya ufunguzi. Mwadui FC ilifungwa bao 1-0 na Toto African kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza katika ufunguzi wa Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

9 years ago

Global Publishers

Julio atamba kumfukuzisha kazi Kerr

JulioKihwelu.jpg Kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.

Said Ally,

Dar es Salaam

WAKATI taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Simba zikidai kumpa mechi nne tu kocha wao, Muingereza, Dylan Kerr kuhakikisha anapata matokeo ya ushindi, kocha wa timu ya Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, ametamba kuwa ataanza kumfungisha virago Mzungu huyo kwa kukifunga kikosi chake.

kochaDylanKerr.jpg Muingereza, Dylan Kerr.

Simba na Mwadui zinatarajia kukutana kesho Jumamosi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kwenye...

 

9 years ago

Habarileo

Julio atamba Mwadui kuwamo nne bora

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Mwadui ya Shinyanga, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametamba timu timu yake itamaliza ligi kwenye nafasi nne za juu msimu huu wa 2015-2016 unaoanza kesho.

 

10 years ago

GPL

BELLA KUFANYA MAAJABU DAR LIVE

Mikito Nusunusu
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufanya maajabu Juni 6, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. King of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. Akizungumzia na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani wa ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ alisema kuwa siku hiyo Bella atauzindua wimbo...

 

11 years ago

GPL

YEMI, SHILOLE KUFANYA MAAJABU KITAIFA

WAKATI hamu ya mashabiki kila kona kwa sasa ni Agosti 8, mwaka huu katika tamasha kubwa la kihistoria la Usiku wa Matumaini litakalofanyia Uwanja wa Taifa jijini Dar, mashabiki wengi wanatamani kuwaona wakali kibao wakipanda jukwaani na kupiga nyimbo zao kali. Diva wa muziki kutoka Nigeria anayetamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade Good newz ni kwamba Zuwena Mohamed ‘Shilole’ atapanda jukwaa moja na diva wa muziki...

 

9 years ago

Global Publishers

Mc Pilipili,Ben Pol kufanya maajabu Boxing Day

Anq4-e6Ri6vWuocVw3rpsx1SJPa_wk6ml5PksCFOG080MC Pilipili akiwa na Ben Pol.

MWANDISHI WETU
MCHEKESHAJI maarufu Bongo, MC Pilipili anatarajia kufanya shoo baab’kubwa ya kuchekesha siku ya Boxing Day, Desemba 26, mwaka huu mjini Dodoma itakayofahamika kwa jina la Night Stand Up Comedy.

Akiizungumzia ‘event’ hiyo, MC Pilipili alisema kupitia kampuni yake ya Pilipili Events, watafanya shoo kubwa ya kuchekesha ambayo haijawahi kutokea Bongo hivyo mashabiki wa komedi na wapenda burudani kwa jumla, wafike kwa wingi siku hiyo katika Ukumbi wa...

 

11 years ago

Michuzi

YEMI, SHILOLE KUFANYA MAAJABU TAIFA USIKU WA MATUMAINI

WAKATI hamu ya mashabiki kila kona kwa sasa ni Agosti 8, mwaka huu katika tamasha kubwa la kihistoria la Usiku wa Matumaini litakalofanyia Uwanja wa Taifa jijini Dar, mashabiki wengi wanatamani kuwaona wakali kibao wakipanda jukwaani na kupiga nyimbo zao kali.Diva wa muziki kutoka Nigeria anayetamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade
Good newz ni kwamba Zuwena Mohamed ‘Shilole’ atapanda jukwaa moja na diva wa muziki kutoka Nigeria anayetamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade kudondosha shoo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani