BELLA KUFANYA MAAJABU DAR LIVE
![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2Maqbh7BpQV6XnmkzlF-3Rm9bd2lQS81vGIIuILFkj-6uwJILHcSkBf*PxvanikpGxDb4cqnavNI0jtaf4l92caHySO/Bella.jpg)
Mikito Nusunusu KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufanya maajabu Juni 6, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. King of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. Akizungumzia na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani wa ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ alisema kuwa siku hiyo Bella atauzindua wimbo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL06 Oct
PROFESA CALABASH AFANYA MAAJABU DAR LIVE
10 years ago
GPL25 Dec
DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE
9 years ago
Mtanzania30 Dec
Bella kutikisa Dar Live kesho
Na Mwandishi Wetu
MKALI wa sauti, Christian Bella, anatarajiwa kupagawisha mashabiki wake kesho kwenye ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Msanii huyo anatarajia kushuka jukwaani na wimbo mpya ambao anatamba nao kwa sasa alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide, uitwao Acha Kabisa.
Mkali huyo mwenye kibao cha ‘Nashindwa’ anatarajia kufunga mwaka kwa kukata kiu kwa mashabiki wake kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama vile Nani Kama Mama,...
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA ALIVYOFUNIKA DAR LIVE JANA
10 years ago
GPLBELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Bella kufunga mwaka na Koffi, Dar Live
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’.
Na Mwandishi Wetu
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufunga mwaka (Desemba 31) na wimbo alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide uitwao Acha Kabisa, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu, Bella anayetamba na Wimbo wa Nashindwa alisema usiku huo mashabiki watafunga mwaka kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama...
10 years ago
GPL08 Jun
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/bella2.jpg)
9 years ago
Global Publishers01 Jan