Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bella kutikisa Dar Live kesho

BellaNa Mwandishi Wetu

MKALI wa sauti, Christian Bella, anatarajiwa kupagawisha mashabiki wake kesho kwenye ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Msanii huyo anatarajia kushuka jukwaani na wimbo mpya ambao anatamba nao kwa sasa alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide, uitwao Acha Kabisa.

Mkali huyo mwenye kibao cha ‘Nashindwa’ anatarajia kufunga mwaka kwa kukata kiu kwa mashabiki wake kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama vile Nani Kama Mama,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAKALI HAWA KUTIKISA PASAKA DAR LIVE KESHO

HATIMAYE! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo kesho Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar mastaa wa muziki Bongo kama, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’, Isha Mashauzi pamoja na Msaga Sumu wanatarajiwa kutikisa. Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani katika...

 

10 years ago

GPL

BELLA KUFANYA MAAJABU DAR LIVE

Mikito Nusunusu
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufanya maajabu Juni 6, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. King of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. Akizungumzia na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani wa ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ alisema kuwa siku hiyo Bella atauzindua wimbo...

 

10 years ago

GPL

BELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE!

Mfalume wa Masauti Bongo, Christian Bella ‘Obama’ akiwa ndani ya Global TV. Christian Bella akiimba wimbo wake mpya wa 'Nashindwa'. Malaika bendi chini ya uongozi wa Christian Bella katika moja ya shoo yao, Dar Live patakuwa hapatoshi jumamosi hii.…

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA ALIVYOFUNIKA DAR LIVE JANA

Wanamuziki wa Malaika Music Band wakilishambulia jukwaa. Mashabiki wakipagawishwa na muziki huo. Christian Bella akiimba moja ya nyimbo zake kwa hisia.…

 

9 years ago

Global Publishers

Bella kufunga mwaka na Koffi, Dar Live

BELAKING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’.

Na Mwandishi Wetu

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufunga mwaka (Desemba 31) na wimbo alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide uitwao Acha Kabisa, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Akizungumza na mtandao huu, Bella anayetamba na Wimbo wa Nashindwa alisema usiku huo mashabiki watafunga mwaka kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

GPL

KESHO NDIYO KESHO DAR LIVE

BONANZA LA JOGGING & BREAKING NEWS… KESHO ndiyo kesho! Bonanza la Jogging na Global Breaking News 15778 linachukua nafasi kwa kukutanisha michezo ya jogging, mpira wa miguu, netiboli, kuvuta kamba, bao la kete, drafti, karate na mingine mingi.  
Bonanza hilo la bure litafanyika kwa kuanza na mbio za jogging zitakazoanzia katika Uwanja wa Taifa hadi Uwanja wa Mbagala-Zakhem kutakapofanyika baadhi ya michezo huku...

 

9 years ago

Global Publishers

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani