Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKALI HAWA KUTIKISA PASAKA DAR LIVE KESHO

HATIMAYE! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa burudani imewadia ambapo kesho Aprili, 5 (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar mastaa wa muziki Bongo kama, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’, Isha Mashauzi pamoja na Msaga Sumu wanatarajiwa kutikisa. Ali Kiba akiupagawisha umati wa Dar Live Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Bella kutikisa Dar Live kesho

BellaNa Mwandishi Wetu

MKALI wa sauti, Christian Bella, anatarajiwa kupagawisha mashabiki wake kesho kwenye ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Msanii huyo anatarajia kushuka jukwaani na wimbo mpya ambao anatamba nao kwa sasa alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide, uitwao Acha Kabisa.

Mkali huyo mwenye kibao cha ‘Nashindwa’ anatarajia kufunga mwaka kwa kukata kiu kwa mashabiki wake kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama vile Nani Kama Mama,...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Global Publishers

Wakali Dancers wafunika Krismasi Dar Live

dansa wakalai dancers wakali dancers wakaliKundi linalobamba Afrika Mashariki kwa miondoko ya kucheza, Wakali Dancers wakikamua jukwaani Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .

(PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL)

 

10 years ago

GPL

MADEE, WAKALI DANCERS WAFUNIKA DAR LIVE USIKU HUU

Msanii wa Hip Hop Hamad Ally ‘Madee’ akiwarusha mashabiki wa Dar Live katika shoo ya Idd Mosi usiku huu. Nyomi ikimpa Madee. Madee akifanya yake na mashabiki.…

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA ‘WAKALI WAO MODERN TARADANCE’ NI SHEEDAH, DAR LIVE

Malkia wa Taarab Afrika Mashariki, Khadija Kopa, akiwajibika jukwaani  akisindikizwa na bendi yake ya Excellent Modern Taarab. Juma Nature na Stoppa Rhymes wakiwarudisha enzi za zamani mashabiki wao. Mkali wa Vigodoro nchini, Msaga Sumu, akiwapandisha mzuka mashabiki wa Simba na Yanga kabla ya kujiachia na burudani ya ‘Kiswazi’.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani