Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA CALABASH AFANYA MAAJABU DAR LIVE

Mtaalam wa michezo ya watoto na maigizo nchini, Profesa Calabash katika sikukuu ya Eid al Hajj, Oktoba 5, 2014 alifanya maajabu ndani ya Ukumbi wa burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakhem, jijini Dar.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PROFESA CALABASH AFANYA VITU VYAKE DAR LIVE

Mkali wa maigizo na michezo ya watoto Profesa Calabash akiwapa raha watoto ndani ya Dar Live katika sikukuu ya Krismasi leo.…

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

Mwanamazingaombwe Profesa Calabash baada ya kumchinja kuku tayari kwa kumpika bila kutumia moto. Profesa Calabash akimnyonyoa kuku kwa ajili ya kumpika bila kutumia moto.…

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

Watoto wakijiachia kwa burudani mbalimbali ndani ya Dar Live katika Sikukuu ya Pasaka Aprili 20, 2014. Burudani hizo zilikuwa zikiongozwa na Profesa Calabash aliyewaburudisha kwa michezo kibao bila kusahau…

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAKIJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD

Mtaalam wa michezo ya watoto na maigizo, Profesa Calabash (mwenye mic) akifanya vitu vyake ndani ya Dar Live katika sikukuu ya Idd Mosi leo.…

 

11 years ago

GPL

PROFESA JAY AFANYA KWELI SHOO YA KRISMASI DAR LIVE

MwanaHip Hip mahiri nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akipanda steji ya Dar Live tayari kuwapa burudani mashabiki. Profesa Jay akiwapa hi mashabiki wake wa Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

BELLA KUFANYA MAAJABU DAR LIVE

Mikito Nusunusu
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufanya maajabu Juni 6, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar. King of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. Akizungumzia na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani wa ukumbi huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ alisema kuwa siku hiyo Bella atauzindua wimbo...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE

WAKALI wa muziki nchini Diamond Platnumz na Mzee Yusuf wameahidi kufanya shoo ya nguvu katika Sikukuu ya Krismasi kwenye Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live katika Tamasha la Wafalme.

 

10 years ago

GPL

PAM D AFANYA KWELI SHOO YA MWANA DAR LIVE

Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika tasnia hiyo, Pamela Daffa 'Pam D' akiwarusha mashabiki wa Dar Live kwa songi lake kali la Nimempata. Vijana wa Pam D wakifanya yao stejini.…

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA WAFALME: MZEE YUSUF AFANYA KWELI, NYOMI YAPAGAWA DAR LIVE

Mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf akilishambulia jukwaaa la Dar Live na kuwaacha hoi mashabiki waliofurika vilivyo. Mzee…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani