Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tegete aibukia Mwadui FC, huenda akaivaa Simba kesho

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jerry Tegete ataitumikia rasmi timu ya Mwadui ya Shinyanga kwa mkataba wa miaka miwili kwenye msimu huu wa Ligi Kuu baada ya kukamilisha taratibu zote za uhamisho akiwa mchezaji huru.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Tegete ajipanga kuipaisha Mwadui

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Jerry Tegete amesema kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuitumikia timu yake mpya ya Mwadui FC, na kuhakikisha inamaliza msimu ikiwa nafasi tatu za juu.

 

10 years ago

Mwananchi

Julio awaita Tegete, Nizar wasaini Mwadui

>Baada ya kuipandisha Mwadui kushiriki Ligi Kuu msimu ujao, kocha mkuu wa  Mwadui Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi mpango wa kuwachomoa nyota kadhaa wa Yanga.

 

9 years ago

Habarileo

Simba, Mwadui kucheza Dar

SIMBA watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

StarTV

Simba Sc kukipiga na Mwadui kabla ya kurudi kambini Zanzibar

 SIMBA SC watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kwenda Zanzibar kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Awali, mchezo huo ilikuwa ufanyike Jumapili, lakini Ofisa Habari wa Simba SC, Hajji Sunday Manara amesema kwamba umeahirishwa kupisha uzinduzi wa kampeni za vyama vya siasa kuelekea uchaguzi Mkuu.
Mchezo huo unatarajiwa kuwapa fursa wapenzi wa Simba SC kumuona kwa mara nyingine mshambuliaji wao mpya,...

 

9 years ago

StarTV

Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio

BEKI JORAM MGEVEKE WA MWADUI FC AKIPAMBANA NA NAHODHA WA SIMBA, MUSSA HASSAN MGOSI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA TAIFA ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. ANGALIA PICHA ZAIDI ZA ACTION…

 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama Simba kukamilisha akidi kesho

WENYEVITI wa matawi ya klabu ya Simba nchini wanatarajia kukutana kesho Jumamosi kukamilisha akidi ya wanachama kwa ajili ya kufanya Mkutano Mkuu wa Dharura, kama katiba ya klabu yao inavyosema....

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA NA YANGA KUKIPIGA DUBAI KESHO

kesho jumatatu katika jiji la Dubai kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Wapenzi na washabiki wa timu za Simba na Yanga katika mpambano wa kunogesha bonanza la nyama choma kwenya uwanja wa Al Ahli Stadium saa nne usiku. Utakuwa ni mpambano wa kukata ma shoka kila timu ikijigamba kuondoka na ushindi..... mtoto hatumwi dukani hapo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani