Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba, Mwadui kucheza Dar

SIMBA watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

JKT Ruvu, Mwadui kucheza Karume leo

TIMU ya JKT Ruvu ya Pwani leo itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE

Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Yvonne Cherrie 'Monalisa'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula.  (Picha na Francis Dande)Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Jeniffer Kyaka 'Odama'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba Day 2015 Simba kucheza na Leopards, kiingilio bure!

SIMBA DAY 2015 Simba Kucheza na AFC Leopards, Kiingilio bure.

Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula akiwa Pamoja na Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva, wakati wa uzinduzi wa Simba Day.

Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi Simba Week 2015 Rais wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tegete aibukia Mwadui FC, huenda akaivaa Simba kesho

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jerry Tegete ataitumikia rasmi timu ya Mwadui ya Shinyanga kwa mkataba wa miaka miwili kwenye msimu huu wa Ligi Kuu baada ya kukamilisha taratibu zote za uhamisho akiwa mchezaji huru.

 

10 years ago

StarTV

Simba Sc kukipiga na Mwadui kabla ya kurudi kambini Zanzibar

 SIMBA SC watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kwenda Zanzibar kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Awali, mchezo huo ilikuwa ufanyike Jumapili, lakini Ofisa Habari wa Simba SC, Hajji Sunday Manara amesema kwamba umeahirishwa kupisha uzinduzi wa kampeni za vyama vya siasa kuelekea uchaguzi Mkuu.
Mchezo huo unatarajiwa kuwapa fursa wapenzi wa Simba SC kumuona kwa mara nyingine mshambuliaji wao mpya,...

 

10 years ago

StarTV

Tazama taswira za mechi ya kirafiki kati ya Simba na Mwadui ya Julio

BEKI JORAM MGEVEKE WA MWADUI FC AKIPAMBANA NA NAHODHA WA SIMBA, MUSSA HASSAN MGOSI KATIKA MECHI YA KIRAFIKI KWENYE UWANJA WA TAIFA ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. ANGALIA PICHA ZAIDI ZA ACTION…

 

 

9 years ago

Habarileo

Simba kucheza na Burkinafaso FA

TIMU ya Simba itacheza na Burkinafaso na Yanga itacheza na Friends Rangers kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), mzunguko wa tatu unaotarajiwa kuendelea Januari 12 na Januari 23-27 kwa timu 32 kuchuana kuwania kufuzu kwa hatua ya 16 bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi huru kucheza Simba

Utata wa Emmanuel Okwi umemalizwa rasmi na mchezaji huyo wa Uganda sasa yupo huru.

 

11 years ago

Mwananchi

KMKM kucheza na Yanga, Simba

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja atashuka uwanjani kwa mara ya kwanza kuikabili timu ya KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani